Mimi ni binti mwenye Diploma ya Community Development, nina uhitaji sana wa ajira

Mimi ni binti mwenye Diploma ya Community Development, nina uhitaji sana wa ajira

Nimepata simu nyingi asanteni
Ila kaz bado sijapata
 
Habarini viongozi,

Nina umri miaka 24. Naishi ARUSHA naishi na mama yangu pekee toka nikiwa mdogo mpk sasa
Elimu yangu ni DIPLOMA OF COMMUNITY DEVELOPMENT.

Nawaomba sana msaada wa kupata AJIRA ya aina yoyote na popote pale Tanzania hii tuweze kujikwamua mimi na MAMA YANGU

MAWASILIANO
0620497224 yangu
0655590432 mama yangu
Jina Ibrahim Daud
 
Nawashukuru sana kwote mliokuwa bega kwa bega
Nipo safarini naelekea songea nimepata kazi huko kwenye mashamba ya kahawa
 
Back
Top Bottom