Mimi ni Dereva wa Bodaboda, nahitaji mke mwenye Degree angalau mbili

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Nashughulika na biashara ya kuendesha BODABODA aina ya SUNLG, Na nina elimu ya FORM TWO, na nilifaulu masomo yote isipokuwa Kemia tu, ila sikuendelea na form three kutokana na mvurugiko wa majukumu.

Sasa nahitaji mke mwenye digirii angalau mbili ili tujenge familia mwanana na tufundishane twisheni ili nami nipate Digirii.

Karibuni.
 
Dili lishanipita hili mwanawane. Nilifaulu masomo yote kasoro kemia. Huyu atakuwa binamu yangu manake naona akili zetu zimefanana. Ukiona 'bwana' anaejua kemia unistue natafuta small house
Duh..... King'asti wewe una digrii mbili, changamkia fursa
 
Last edited by a moderator:
Dili lishanipita hili mwanawane. Nilifaulu masomo yote kasoro kemia. Huyu atakuwa binamu yangu manake naona akili zetu zimefanana. Ukiona 'bwana' anaejua kemia unistue natafuta small house

Ila nilirisiti KEMIA nikafaulu,
Kwa hiyo njoo tuyajenge tu.
 
Akili ya kurisiti sitaki mie. Nataka mwenye A ya kemia aisee, watoto watanilaumu bureeee:bowl:

Hivi snowhite si unamaakili ya kemia na fizikia? Dili liko hapa mama
Ila nilirisiti KEMIA nikafaulu,
Kwa hiyo njoo tuyajenge tu.
 
Last edited by a moderator:
Hii yako Kali kama ulirisiti kemia na umeishia kidato chapili subiri kidogo wanakuja
 
Nashughulika na biashara ya kuendesha BODABODA aina ya SUNLG, Na nina elimu ya FORM TWO, na nilifaulu masomo yote isipokuwa Kemia tu, ila sikuendelea na form three kutokana na mvurugiko wa majukumu.

Sasa nahitaji mke mwenye digirii angalau mbili ili tujenge familia mwanana na tufundishane twisheni ili nami nipate Digirii.

Karibuni.

Unanini leo? Naona majukumu yamekuzidi. Umenivunja mbavu. Wacha waje.
 
Nashughulika na biashara ya kuendesha BODABODA aina ya SUNLG, Na nina elimu ya FORM TWO, na nilifaulu masomo yote isipokuwa Kemia tu, ila sikuendelea na form three kutokana na mvurugiko wa majukumu.

Sasa nahitaji mke mwenye digirii angalau mbili ili tujenge familia mwanana na tufundishane twisheni ili nami nipate Digirii.

Karibuni.

kama unaumwa jino kang'oe. naona unaongea impossible things.
 
Tafuta kwanza na ww hizo degree mbili ndio uchague huyo unayemtaka
 
Heri umeamua kuongea ukweli...natumaini utampata tu....

Nje ya mada:Ningeomba kuzungumza nawe kuhusu hyo biashara ya bodaboda ka hutojali mkuu...
 
Dili lishanipita hili mwanawane. Nilifaulu masomo yote kasoro kemia. Huyu atakuwa binamu yangu manake naona akili zetu zimefanana. Ukiona 'bwana' anaejua kemia unistue natafuta small house

Me najua chemia mpaka inaniogopa kama vip ni PM
 
Kwanza huku umepajuaje??Je huwa unavuta misokoto mingapi? Kwa siku
 
Back
Top Bottom