Mimi ni Dereva wa Bodaboda, nahitaji mke mwenye Degree angalau mbili

Mimi ni Dereva wa Bodaboda, nahitaji mke mwenye Degree angalau mbili

Dili lishanipita hili mwanawane. Nilifaulu masomo yote kasoro kemia. Huyu atakuwa binamu yangu manake naona akili zetu zimefanana. Ukiona 'bwana' anaejua kemia unistue natafuta small house
Aisee
 
Huyo bodaboda anafunga hesabu kwa siku hata 50,000/- anaawAzidi wenye degree
 
Niletee huyo Kinga'sti haraka sana mkuu,
Huyo atanifaa sana huyo.
We dogo kuna Uzi umeandika kuwa unauza duka la Mangi umeshahama umekuwa boda au ndo nyie watu ambao hamjulikani? Hafu haupo serious dogo
 
We dogo kuna Uzi umeandika kuwa unauza duka la Mangi umeshahama umekuwa boda au ndo nyie watu ambao hamjulikani? Hafu haupo serious dogo
Hebu angalia huu uzi ni wa mwaka gani na huo wa kuuza duka ni wa mwaka gani.

Mkuu, kwa sisi tusiokuwa na ajira za taasisi usishangae ndani ya mwaka mmoja mtu akawa na shughuli hata 3,
Sisi tunachohangaikia kwanza ni kupata hela ya kulipa pango na chakula, kwa hiyo usishangae kutuona tunatangatanga kutafuta namna ya kuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abiria wooote hao unao beba bado tu hata mwenye Mastrs hujawahi beba? wewe ni mzembe sana!
 
Back
Top Bottom