Mimi ni Dereva wa Bodaboda, nahitaji mke mwenye Degree angalau mbili

Nashughulika na biashara ya kuendesha BODABODA aina ya SUNLG, Na nina elimu ya FORM TWO, na nilifaulu masomo yote isipokuwa Kemia tu, ila sikuendelea na form three kutokana na mvurugiko wa majukumu.

Sasa nahitaji mke mwenye digirii angalau mbili ili tujenge familia mwanana na tufundishane twisheni ili nami nipate Digirii.

Karibuni.
Udochi tupe mrejesho basi km ushapata king'asti uliekuwa unamtafuta...wana jf tutakuandalia harusi babkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Jamani duu si keshachanganyikiwa na mwanmkr huyu si bure
 
Nashughulika na biashara ya kuendesha BODABODA aina ya SUNLG, Na nina elimu ya FORM TWO, na nilifaulu masomo yote isipokuwa Kemia tu, ila sikuendelea na form three kutokana na mvurugiko wa majukumu.

Sasa nahitaji mke mwenye digirii angalau mbili ili tujenge familia mwanana na tufundishane twisheni ili nami nipate Digirii.

Karibuni.

Sio kila mwenye degree atakuwa na msaada kwako
 
Namwambia boss wako aongeze ela ya malipo kwa wiki,naona vichenji vimeanza kubaki vingi vinakuzuzua
 
MREJESHo:

MPAKA SASA HAKUNA ALIYENITAFUTA KUHUSU HILI SUALA!

NGOJA NIBADILI VIGEZO KWENYE TANGAZo.
 
Back
Top Bottom