Mimi ni graduate ila siwezi kuendesha bodaboda wala kufanya kazi yoyoye kisa tu hela

Mimi ni graduate ila siwezi kuendesha bodaboda wala kufanya kazi yoyoye kisa tu hela

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Huo ndio ukweli I can't become a bodaboda rider

Hizi ndo sababu zangu

- Hii kazi Ina risk Sana
  • haina kiinua mgongo chochote
  • ni Kazi inayopigiwa chapuo na
wanasia Ila watoto wao
hawawezi kuifanya

Mimi ntaendelea kuwa mtazamaji wa mambo Ila I can't go broke I'm hustler and smart .

Graduate don't be fooled by politicians Bodaboda ni futi sita
 
Upo sahihi kabisa.

Sioni sababu ya kufanya kazi yeyote ili kujijengea imani kwa wengine kuwa wewe ni shupavu.

Ili mradi tu uonekane ni mtu fulani mpambanaji unaye endana na kauli mbiu ya mtaani kuwa "mwanaume habagui kazi"

Pasipo kujali hata usalama wa mazingira wa hiyo kazi.
 
Mashamba yamejaa,mifugo imejaa,bora nifuge nguruwe au nikalime matango ila sio kuendesha boda,angalau bolt au ubber ya gari ila sio boda boda
Hivyo vyote vinahitaji pesa,mfuko wa mbolea laki na ishirini,na utahitaji walau mitatu,shamba ukodi,bado viuwatilifu,graduate kibao wapo viwanda vya matofali,wanapakia kokoto na mchanga kwenye canter
 
Back
Top Bottom