Mimi ni graduate ila siwezi kuendesha bodaboda wala kufanya kazi yoyoye kisa tu hela

Mimi ni graduate ila siwezi kuendesha bodaboda wala kufanya kazi yoyoye kisa tu hela

Wapo bodaboda makini, urisk wa bodaboda unautengeneza wewe mwenyewe.

Fuata sheria za usalama barabarani, vaa inavyotakiwa, usiwe na haraka kama wafanyavyo boda wengi..

Kinachowacost boda ni kutofata sheria za usalama barabarani.

Binafsi sioni kama bodaboda ni kazi mbaya, ila wewe unaeifanya hiyo kazi usipojijari ja kujari usalama wako basi ni kazi mbaya kwako.
 
I hold bachelor

I hold bachelor degree - that enough
Mmmm hhhh !!!, Sawa ila jirani yangu ana Msc Computer Science kabla hajapata ajira ya ualimu alikuwa dereva wa bajaj.

Wewe una elimu ya kawaida tu ila umejiwekea bar kubwa sana uko "cloud nine" tena kifikra, come down to earth man pole sana. Unaona hujisikii vizuri kutaja hata graduate wa nini wakati hatujuani humu JF.Hizo Fikra kwamba wewe ni blah blah ungekaa nazo kichwani. Kumbuka ukitembea barabarani vyeti vyako havionekani kichwani kwamba wewe ni graduate. Kifupi you are just plain stupid.
 
This is person attack
 
Bodaboda ni kazi hatari sana, nishazika mwanangu na mwingine mpaka leo ni kilema kwa sababu ya bodaboda, ila hata ukiachana na bodaboda binafsi kuna kazi siwezi kuzifanya. Kuna maana gani ya kusoma mpaka chuo halafu unaiambie nikauze maandazi, si ujinga huo
 
Hata ingekuwa haiui, bado msomi hatakiwi kuifanya.
Kufanya kazi za aina hiyo ni ishara kuwa mtu hajaelimika vya kutosha kutumia elimu yake kutatua matatizo yanayomkabili.

Unasoma sana kisha unaishia kufanya kazi ambazo zinafanywa na waliopata zero. Hayo ni matusi kwa elimu yako!
 
Huo ndio ukweli I can't become a bodaboda rider

Hizi ndo sababu zangu

-hii kazi Ina risk Sana
  • haina kiinua mgongo chochote
  • ni Kazi inayopigiwa chapuo na
wanasia Ila watoto wao
hawawezi kuifanya

Mimi ntaendelea kuwa mtazamaji wa mambo Ila I can't go broke I'm hustler and smart .

Graduate don't be fooled by politicians Bodaboda ni futi sita
utakuwa tayari una cha kukuingizia pesa. njaa ikiuma vyeti huwekwa pembeni
 
Serikali ingevipa thamani vyuo vya VETA ingesaidia sana kupunguza changamoto ya ajira, badala ya vijana wote kuelekea jeshini baada ya kuhitimu vyuo au kidato cha 6 wengine waende huko vyuo vya ufundi kupata ujuzi, nchi ingekimbia sana hii
 
Back
Top Bottom