Kauli ya kibwege sanaHuo ndio ukweli I can't become a bodaboda rider
Hizi ndo sababu zangu
-hii kazi Ina risk Sana
wanasia Ila watoto wao
- haina kiinua mgongo chochote
- ni Kazi inayopigiwa chapuo na
hawawezi kuifanya
Mimi ntaendelea kuwa mtazamaji wa mambo Ila I can't go broke I'm hustler and smart .
Graduate don't be fooled by politicians Bodaboda ni futi sita
Ukichapwa na maisha kisawasawa mbona unatengua kauli😂😂
kajipata huyuUkichapwa na maisha kisawasawa mbona unatengua kauli😂😂
Hapa umeongea kwa hisia sana Alberto Chalamila umesikia hii mfikishie na Rizimoko pale Ofisi ya Mkuu wa Mawaziri woteGraduate don't be fooled by politicians Bodaboda ni futi sita
Mambo huwa yana change mkuu, Nani angedhani mtu Kama Lawrence Masha angeweza kwenda kulia Lia kwa kiboko ya wachawi eti karogwa?kajipata huyu
aiseee!Mambo huwa yana change mkuu, Nani angedhani mtu Kama Lawrence Masha angeweza kwenda kulia Lia kwa kiboko ya wachawi eti karogwa?
Atleast umesema wewe ni hustler but kuna wenzio wanapiga hesabu zinakataa na wanakosa option kabisa so wanajikuta wanaangukia huko.Huo ndio ukweli I can't become a bodaboda rider
Hizi ndo sababu zangu
-hii kazi Ina risk Sana
wanasia Ila watoto wao
- haina kiinua mgongo chochote
- ni Kazi inayopigiwa chapuo na
hawawezi kuifanya
Mimi ntaendelea kuwa mtazamaji wa mambo Ila I can't go broke I'm hustler and smart .
Graduate don't be fooled by politicians Bodaboda ni futi sita
Au sio!!I'm hustler , I can't go broke
I know my destination
That is bullshit prophecy - I can't do that shitSijajua mazingira yako kaka, ila ngojea wakati wako ukifika hata hiyo boda tu kuipata ni issue.
Sikutakii mabaya, nakukumbisha tu haya ni maisha. 😁
Kila kazi inaajali!That is bullshit prophecy - I can't do that shit
Umemuona graduate wa ardhi aliyekuwa anaendesha bodaboda he end up in wheelchair 6 yrs now
A lot motherfuckers they can't understand this situation
Kila kazi inaajali!
Graduate wa fani gani mkuuHuo ndio ukweli I can't become a bodaboda rider
Hizi ndo sababu zangu
-hii kazi Ina risk Sana
wanasia Ila watoto wao
- haina kiinua mgongo chochote
- ni Kazi inayopigiwa chapuo na
hawawezi kuifanya
Mimi ntaendelea kuwa mtazamaji wa mambo Ila I can't go broke I'm hustler and smart .
Graduate don't be fooled by politicians Bodaboda ni futi sita
Kama huna kazi ya maana utafanya.
Hakuna mtu anapenda kufanya kazi zisizo na maana ila watu huzifanya huku wakiangalia michongo mingine.
Kuliko ukae home kama zindiko, unaomba hadi vocha kama kuna fursa ya wewe kua boda fanya kazi huku ukilenga michongo mingine mizuri.
Nilimaliza chuo nikawa manager wa bar, sinywi pombe wala kuvuta sigara na sipendi makelele ya bar na miziki mikubwa, lakini kuliko kukaa nyumbani ikabidi niwe meneja wa Bar. Pale pale bar ndio nikapata mchongo wa maisha maana hr wa taasisi moja kubwa alikua anapenda kuja kunywa pale. Baada ya kuona kujitathmini kwa muda na kusikia hoja zangu siku moja akaniuliza nina elimu gani, nikawamwambia ndio nimemalza chuo mwaka jana, akaniuliza kama nina vyeti original, nikasema bado, akasema ukivitapa njoo ofisini kwangu, kweli nilipovipata nikaenda, baada ya wiki 2 nikapigiaa simu kwenda kusaini mkataba.
Usidharau sana watu wanaofanya kazi flani, ni vile hawajapata fursa ya kazi wanazozipenda, wakipata wataenda huko.