Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali ipo shambani, shikilia hapo utakuwa milioneaAsikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi
Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa hiyo ili kujazilizia ada, mama hakutaka hata kugeuza shingo yake kunitazama mimi mwanae.
Niliutegemea msaada kutoka kwa baba, lakini ndo basi tena. Nikamwambia mama kama ikimpendeza anipatie nafasi ya ulinzi kwenye gereji yake, wajomba zangu wakadakia na kumshauri mama eti nijiajiri, nitafute kwa jasho langu
Inauma asikwambie mtu. Ni mara mia ningeishia kidato cha nne. Ningekuwa mbali kimaisha
Karibuni sana ndugu zangu hapa Karatu mnichangie nyanya. Fungu 500, moja mia
Ushauri: Mama. Badili mfumo wa elimu nchini. Wafundishe wanetu stadi za maisha na namna ya 'kuhandle' biashara. Waandaeni na maisha ya kutokutegemea ajira. Elimu ya kidato cha nne mkiimodify inatosha. Sasa hayo ma integration, barometer, african resistance, circular motion e.t.c yatanisaidia nini kwenye matenga ya nyanya hapa Karatu?
Akili ni nywele…. Hakika wahenga hawakukoseaanzisha kiwanda kidogo cha nyanya,tomato,chili n,k angalau uonyeshe uwezo wa kichwa chako kilichobeba izo degree 3.mtaji,plan na kilakitu vipo kichwani kwenye mbichwa wako.
Ukimwelewa bwana melki huwezi kupata shida[emoji28][emoji28]Wewe huna degree 3 , bali una karatasi linalokutambulisha kuwa una degree lkn kichwani wewe una level ya chekechea.
Mwenye degree 3 kichwani hawezi kuja hapa na kuanza kutapika uharo huu.
Ulipokuwa chuo badala ya kuwa bize kujipatia maarifa ulikalia kubeti na kudanga, mwisho wa siku ukatoka kapa. Acha maisha yakunyooshe.
Bibi yangu yuko Kijijini na darasa lake la 4 lkn amemsomesha baba yetu na wadogo zake. Hajawahi kuajiriwa popote. Wewe una bahati ulipelekwa shule mpk ngazi ya chuo kikuu lkn ukakalia kufanya ushubwada.
Elimu upewe, na ajira pia upewe.Asikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi
Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa hiyo ili kujazilizia ada, mama hakutaka hata kugeuza shingo yake kunitazama mimi mwanae.
Niliutegemea msaada kutoka kwa baba, lakini ndo basi tena. Nikamwambia mama kama ikimpendeza anipatie nafasi ya ulinzi kwenye gereji yake, wajomba zangu wakadakia na kumshauri mama eti nijiajiri, nitafute kwa jasho langu
Inauma asikwambie mtu. Ni mara mia ningeishia kidato cha nne. Ningekuwa mbali kimaisha
Karibuni sana ndugu zangu hapa Karatu mnichangie nyanya. Fungu 500, moja mia
Ushauri: Mama. Badili mfumo wa elimu nchini. Wafundishe wanetu stadi za maisha na namna ya 'kuhandle' biashara. Waandaeni na maisha ya kutokutegemea ajira. Elimu ya kidato cha nne mkiimodify inatosha. Sasa hayo ma integration, barometer, african resistance, circular motion e.t.c yatanisaidia nini kwenye matenga ya nyanya hapa Karatu?
Tupe mafanikio yako kwenye biasharaAsikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi
Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa hiyo ili kujazilizia ada, mama hakutaka hata kugeuza shingo yake kunitazama mimi mwanae.
Niliutegemea msaada kutoka kwa baba, lakini ndo basi tena. Nikamwambia mama kama ikimpendeza anipatie nafasi ya ulinzi kwenye gereji yake, wajomba zangu wakadakia na kumshauri mama eti nijiajiri, nitafute kwa jasho langu
Inauma asikwambie mtu. Ni mara mia ningeishia kidato cha nne. Ningekuwa mbali kimaisha
Karibuni sana ndugu zangu hapa Karatu mnichangie nyanya. Fungu 500, moja mia
Ushauri: Mama, badili mfumo wa elimu nchini. Wafundishe wanetu stadi za maisha na namna ya 'kuhandle' biashara. Waandaeni na maisha ya kutokutegemea ajira. Elimu ya kidato cha nne mkiimodify inatosha. Sasa hayo ma integration, barometer, african resistance, circular motion e.t.c yatanisaidia nini kwenye matenga ya nyanya hapa Karatu?