Mimi ni kijana mwenye degree tatu ninaeuza nyanya Karatu

anzisha kiwanda kidogo cha nyanya,tomato,chili n,k angalau uonyeshe uwezo wa kichwa chako kilichobeba izo degree 3.mtaji,plan na kilakitu vipo kichwani kwenye mbichwa wako.
 
Mali ipo shambani, shikilia hapo utakuwa milionea
 
Ukimwelewa bwana melki huwezi kupata shida[emoji28][emoji28]
 
Elimu upewe, na ajira pia upewe.
We kitoto cha mwisho nini?? Afu cha uzeeni
 
Tupe mafanikio yako kwenye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…