Mimi ni kijana wa miaka 20 nahitaji ushauri wa wa kazi nayoweza kufanya kulingana na elimu yangu

Ndoto na kiu yako ndiyo itakufikisha unakotaka kwenda, Kuna kijana nimekuwa nikiwasiliana Naye toka mwaka jana mwezi wa Saba sijawahi kukutana Naye ila nimehandle miamala yake Sana, Ana trade forex, Bitcoin anauza vitu Shopify Yuko mwanza, Mimi akili yangu ilikuwa inanituma kuwa atakuwa 30+ kwanza ukizingatia kaoa ndoa ya mkeka mwaka huu.

Jana ndiyo kwa Mara ya kwanza tumepiga story za maisha nikashangaa dogo Ana miaka 22, mkewe Ana miaka 18 na Wana mtoto.
Dogo hakumaliza advance alikosa karo akiwa form 5, Sasa ndiye anawasomesha wadogo zake na kuwatunza wazazi wake, ni trader mzuri Sana wa FX Ana vitu bingo anafanya mpaka nlishangaa kwa umri wake na ambitions zake haviendani maana kipindi Nina umri huo nilikuwa Sina mawazo ya maana.

Anampenda Sana Ontario eti anasema anamtazama yeye. Dogo kwa week hakosi kupiga transaction za 500$ kwa issue anazofanya.
Yani nachotaka kusema kila mtu haijalishi kaishia wapi ametokea wapi akiwa una kiu na utayari wa kujifunza chochote na kufanya lolote unaweza japo Safari uwa siyo rahisi.

Huyo dogo toka Jana nimeanza kumzingatia kwa picha nyngne akija fika 30s atakuwa mbali nadhani.
Kuna harufu ya utapeli hapa ....
 
Mbona kama mmebadili title tofauti na nilivyoandika wakuu hilo neno elimu sijalitaja nina tafuta kazi serious namba 0686027367
 
Dodoma kuna kazi nyingi za ujenzi,nenda katafute kazi ya usaidizi wa fundi, ili upate mtaji kwanza
 
Lima bustani ya mboga mboga hata robo heka utaona mabadiliko kiasi, unapoendelea na hio biashara ya bustani utaendelea kuamarisha mtaji wako kupitia hio hio bustani- usivune bustani ukaenda kuwekeza kitu kingine,Fanya kile kile ambacho umeanza nacho sababu unakua tayari umejulikana kwa hio biashara,Misimu inayofuatia unakua una jina hivyo mboga mboga zako unakua unaziuza zikiwa shambani.Mashamba yapo ya kukodi na mengine unaweza kuomba kwa wasamaria wasiofanyia hayo mashamba shughuli yoyote ukapewa kuanzisha hiki kilimo cha mboga mboga, Kilimo hiki cha mboga mboga kitakupa uzoefu wa kujua mahitaji ya jamii kuhusu mazao ya chakula, Kwa sababu wateja wako watakua wanakuuliza na mboga nyingine ambazo huna, Hivyo unavyoendelea na kilimo hiki unaongeza aina za mboga katika shamba lako.
kila la heri.
 
Ndoto na kiu yako ndiyo itakufikisha unakotaka kwenda, Kuna kijana nimekuwa nikiwasiliana Naye toka mwaka jana mwezi wa Saba sijawahi kukutana Naye ila nimehandle miamala yake Sana, Ana trade forex, Bitcoin anauza vitu Shopify Yuko mwanza, Mimi akili yangu ilikuwa inanituma kuwa atakuwa 30+ kwanza ukizingatia kaoa ndoa ya mkeka mwaka huu.

Jana ndiyo kwa Mara ya kwanza tumepiga story za maisha nikashangaa dogo Ana miaka 22, mkewe Ana miaka 18 na Wana mtoto.
Dogo hakumaliza advance alikosa karo akiwa form 5, Sasa ndiye anawasomesha wadogo zake na kuwatunza wazazi wake, ni trader mzuri Sana wa FX Ana vitu bingo anafanya mpaka nlishangaa kwa umri wake na ambitions zake haviendani maana kipindi Nina umri huo nilikuwa Sina mawazo ya maana.

Anampenda Sana Ontario eti anasema anamtazama yeye. Dogo kwa week hakosi kupiga transaction za 500$ kwa issue anazofanya.
Yani nachotaka kusema kila mtu haijalishi kaishia wapi ametokea wapi akiwa una kiu na utayari wa kujifunza chochote na kufanya lolote unaweza japo Safari uwa siyo rahisi.

Huyo dogo toka Jana nimeanza kumzingatia kwa picha nyngne akija fika 30s atakuwa mbali nadhani.
Naona unatengeneza mazingira ya kumtapeli mtu
 
Hizo ni fikra zako wewe, Mimi siyo mwalimu wa kitu chochote wanaonijua humu wanajua topic zangu uwa zinahusu nini na Wala sijawahi kukwambia mtu anifuate pm nimfundishe na hata wanaonifuata hakuna niliyewahi kukwambia anilipe nimfundishe maana hata nikikuelekeza unaweza usitengeneza hata shilingi moja what I do to make money hai guarantee kuwa you will
 
Lima bustani ya mboga mboga hata robo heka utaona mabadiliko kiasi, unapoendelea na hio biashara ya bustani utaendelea kuamarisha mtaji wako kupitia hio hio bustani- usivune bustani ukaenda kuwekeza kitu kingine,Fanya kile kile ambacho umeanza nacho sababu unakua tayari umejulikana kwa hio biashara,Misimu inayofuatia unakua una jina hivyo mboga mboga zako unakua unaziuza zikiwa shambani.Mashamba yapo ya kukodi na mengine unaweza kuomba kwa wasamaria wasiofanyia hayo mashamba shughuli yoyote ukapewa kuanzisha hiki kilimo cha mboga mboga, Kilimo hiki cha mboga mboga kitakupa uzoefu wa kujua mahitaji ya jamii kuhusu mazao ya chakula, Kwa sababu wateja wako watakua wanakuuliza na mboga nyingine ambazo huna, Hivyo unavyoendelea na kilimo hiki unaongeza aina za mboga katika shamba lako.
kila la heri.
Asante kaka
 
Anza kujifunza skills Ambazo zinahitajika sokoni mfano coding, graphic design, digital marketing, anzisha YouTube channel..baada ya miaka mitatu utanishukuru. Wee bado chalii sana.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom