Mimi ni kijana wa miaka 20 nahitaji ushauri wa wa kazi nayoweza kufanya kulingana na elimu yangu

Mimi ni kijana wa miaka 20 nahitaji ushauri wa wa kazi nayoweza kufanya kulingana na elimu yangu

Komaa mkuu ukifanya kitu kwa moyo mmoja unatoboa, mimi napenda Mambo ya online Sana japo Nina biashara nyingine ndogo ndogo lakini nazifungua Kama security tu ila my main source of income ni kutoka mtandaoni na ntashukuru Mungu siku baada ya siku nazidi kuearn more.

FX sijawahi kutrade kwakuwa sijaipatia muda ila nimepanga this time around nitasafiri kwenda mwanza kuonana na huyo dogo anipe SoMo.

Ametokea kuwa rafiki mzuri kwangu maana hanijui simjui lakini uwa na handle transactions zake tu na tulijuana kwenye telegram group la jamaa waliokuwa wanauza line za safaricom humu. Yani Leo tu nimetoka mtolea na kumtumia 120$ si muda.
Dogo kanipa kimuhe muhe
hii ni motivation story au nini mkuu?
 
Mahindi ya kuchoma kama uko serious yanalipa sana,watu wanakula kuanzia asubuhi,ni kutafuta goli zuri tu utatobooa mdogo wangu...
 
Back
Top Bottom