Mimi ni Mama jueni hilo

Mimi ni Mama jueni hilo

Najua nimedandia gari kwa mbele ila naapa sitoki mpaka nijue ndani kuna abiria gani. ( nijue kisa cha huu uzi )
kuna mtu juzi aliandika uzi akiuliza katoto kazuri yuko wapi? jioni akajitokeza n hii id akisema ametoka sosho coz ana mume na wtoto na blahblah kibao...lakini art yake ikawa kama ya yule dada mwenye bipolar .a.k.a Ramota wa jf..ajabu ramota wa jf akaibika kumtetea🤣🤣...watu wakajua huuu ni bipolar akaibuka na id nyingine same time anatafta marafiki...uzi uko 20pgs nw...usearch...anatukana watu kama kabwia mipombe
 
Yaan Kati ya vitu nisivyovitilia maanani Jf ni maneno kutoka kwa wafu wenzangu.Hukuwa na haja ya kujielezea,kujielezea ni udhaifu mpenzi.Nothing is permanent...wote siye ni wa kaburini...,ukisikia neno liache lipite ...huo ndo muda wao wa furaha to talk about others.
May be they're looking for peace of mind...
 
kuna mtu juzi aliandika uzi akiuliza katoto kazuri yuko wapi? jioni akajitokeza n hii id akisema ametoka sosho coz ana mume na wtoto na blahblah kibao...lakini art yake ikawa kama ya yule dada mwenye bipolar .a.k.a Ramota wa jf..ajabu ramota wa jf akaibika kumtetea[emoji1787][emoji1787]...watu wakajua huuu ni bipolar akaibuka na id nyingine same time anatafta marafiki...uzi uko 20pgs nw...usearch...anatukana watu kama kabwia mipombe
Asante sana kwa samare mkuu nilijua tuu sijadandia gari bure.
 
Back
Top Bottom