Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu,
mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu kufanya kila kitu ninachotaka na haongei sana. Tangu nakutana naye mimi niikua mtu wa club na kupost vitu vyangu kwenye mitandao bila kujali macho ya watu.
Nilikua naweza kupost picha nimevaa kichupi nacheza, nimevaa nguo fupi na hata siku moja mume wangu alikua hajawahi kuniambia kitu, mara nyingine hata picha nilikua napost mimi.
Kuna kipindi nilimuambia nataka tattoo ya kwenye matiti nikaenda kuchora na nikapost hakujali. Tulikua vizuri sana lakini kaka juzi kuna picha moja nilipost, nilikua beach tu nimevaa nguo zakuogelea makalio yalikua wazi, ni picha ya kawaida tu ambayo hata huko nyuma nilikua napost, lakini ghafla mume wangu alikuja kwa hasira.
Aliniambia nifute, nilishangaa na kumuuliza shida ni nini akaniambia kuwa kila mtu anamuona kaoa malaya. Kaka maneno yake yaliniuma sana kwani sijawahi kumkosea heshima mume wangu, tuligombana sana kiasi alinitukana na kunipiga akaniambia nitoke kabisa kwenye mitandao ya kijamii kwani najiuza.
Niligoma ndipo akanionyesha picha yangu ipo Telegram mtu kachukua kwenye ukurasa wangu Instagram anasema najiuza, kaka sio mimi na mume wangu anajua kabisa sio mimi ila amekasirika ananiambia rafiki zake wanamuona kuwa kaoa malaya hivyo nifute picha zangu zote kwenye mitandano ya kijamii, kaka hii ni haki kweli au ananitesa tu? Maana najikuta naanza kuchukia hii ndoa😡