Mimi ni Mama wa miaka 38, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu lakini sasa mambo yamebadilika

Mume wako yupo sahihi.
 
"...Awee mama we, ungekuwa we ungefanyaje..."

Monetary doctor.
 
NA BADO....KIFUATACHO NI KUCHINJWA NA KUFUKIWA UWANI
 
 
Kuna punda,pundamilia na punda-mliaji.Ajichagulie jina.
 
Peleka jukwaa na hadithi/Tamthilia
 
Hii story nshaisoma huko feisibuku.......

Ila mfano mdg ni wanawake wengi waliopo kwenye ndoa wanajipost sana TikTok aseeh wengi wamevaa hovyo kinoma......

By the way siwezi kumpangia mtu Cha kuvaa au laa, lakini tambua mwanamke wewe ni kama bidhaa lazima kila mtu aone ubora wake anunue.....

Kwa kupost huko sidhani hata ukifunga comment section may be private/direct message lazima upatane na mashambulizi ya kutongozwa tuu .....

Ukijua umeshaolewa makalio unampostia nani Tena upo uchi ? Na mifano mwingine kama hiyo

secretarybird
 
 
Yaani mwanamke nitakayemwoa sitamrusu kuposti ujinga, kama ana Pepo la kuposti picha ya makalio yake naunda group la WhatsApp ambalo litakuwa na members wawili tu mimi na yeye. Atakuwa anapost picha za makali yake kwenye hili grupu letu pekee.

Ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ