Mimi ni Mama wa miaka 38, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu lakini sasa mambo yamebadilika

Wewe unaitaka ndoa, ila ndoa haikutaki
 
Me mtoto wa mungu, ye anatumia wagangaaaaaa..... unanchekesha, heheheeeeee.... aloo.... hohohooooo
 
Wewe ndiye mwenye shida. Umeolewa ukiwa ushapuganga sana (umeolewa ukiwa na 31 ).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…