habari zenu wanajamii forum mie ni dada wa miaka 34 ni mfanyakazi wa private organisation mojawapo ya mikoa yetu ya Tanzani napenda kujitokeza hapa kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha ,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa kawaida ,Nitashukuru kuwasiliana na watu ambao wako serious na wenye hitaji kama langu .Asanteni

habari zenu
wanajamii forum mie ni dada wa miaka 34 ni mfanyakazi wa private
organisation mojawapo ya mikoa yetu ya Tanzani napenda kujitokeza hapa
kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha
,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa
kawaida ,Nitashukuru kuwasiliana na watu ambao wako serious na wenye
hitaji kama langu .Asanteni

Nitumie pm