Mimi ni mdada natafuta mchumba

Mimi ni mdada natafuta mchumba

hahahah jf bana akiweka mtu tangazo la kutafuta mwenza anapondwa weeeh, kwani hili jukwaa kazi yake nn?? basi lifutwe kwani halina maana
 
kiukweli nikupongeze kwa kuwa na self confidence! Ubarikiwe kupata mume mwema
 
napenda kujitokeza hapa kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha ,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa kawaida

MIMI NIPO SERIOUS ILA NIPO CHUO KIKUU NAKUJA HUKO ULIPO, nina miaka 24, je upo tayari. Mapenzi hayachagui umri.
 
habari zenu wanajamii forum mie ni dada wa miaka 34 ni mfanyakazi wa private organisation mojawapo ya mikoa yetu ya Tanzani napenda kujitokeza hapa kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha ,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa kawaida ,Nitashukuru kuwasiliana na watu ambao wako serious na wenye hitaji kama langu .Asanteni

krbu kwng hta mm na hitaj kma lako,kma vp ni PM
 
habari zenu wanajamii forum mie ni dada wa miaka 34 ni mfanyakazi wa private organisation mojawapo ya mikoa yetu ya Tanzani napenda kujitokeza hapa kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha ,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa kawaida ,Nitashukuru kuwasiliana na watu ambao wako serious na wenye hitaji kama langu .Asanteni

huna mtoto hata mmoja? mbona umri umeenda...?
 
Una watoto wangapi naona unajiita "mama watoto wengi" ni PM kama vipi tuongee zaidi.
 
habari zenu
wanajamii forum mie ni dada wa miaka 34 ni mfanyakazi wa private
organisation mojawapo ya mikoa yetu ya Tanzani napenda kujitokeza hapa
kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha
,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa
kawaida ,Nitashukuru kuwasiliana na watu ambao wako serious na wenye
hitaji kama langu .Asanteni

ni Pm plz
 
ok nna hitaji kama lako nichek hapa tuangalie profile zetu kama zitamatch 0755561008 Mungu akutangulie
 
Hallow Dada, kuna mjomba wangu anatafuta mke ila alifiwa na mke mwaka jana baada ya kuugua ukimwi muda mrefu. Je uko tayari nikupe no. Zake za simu muasiliane?
 
Aisee..
Tatizo competition kubwa..mwenzenu mie mpole..lakn pia naitaj kuwa na mama watoto wa aina yako.
 
Katika vitu ambavyo ntashangaa sana, ni wewe kupata mume serious kwa njia hii.... najua inawezekana, ila nitashangaa sana.
 
Watu wanapata lkn kuna wapumbavu wanaleta dhihaka humu sijui vichwani wana mende badala ya kupita kimya kimya wao wana katisha watu tamaa.
Ifikie kipindi mod awe anawapa ban.
 
Thats good, ebu chek na mimi kwa namba 0659751370 tufanye maisha.
 
Back
Top Bottom