Mimi ni mdada natafuta mchumba

mmi npo tayar ila sijajua we upo wap na tabia yako ikoje then ndo tujue tuna fanyeje:glasses-nerdy:
 
Hahaahha hawashikiki hawa wa mitandaoni.
Jiulize miaka yote hiyo hajapata ana matatizo gani?
 
Naunga mkono nia yako dada, lakini kama utahitaji mtoto kwa umri huo kisayansi watoto huwa wanazaliwa na matatizo ya kimaumbile (chromosomal disorder eg Down's Syndrome), matatizo ya Moyo etc. So jiandae tu.
 
salaam,mimi nipo zanzibar ni karibu sana na dar hebu tuwasiliane nakuja dar week-end hii tuonanane tuongee vizuri
 
dada inamaana hata wa barabarani umekosa kweli elimu si kitu katika mapenzi?basi komaa na wana JF maana naona wengine wametililika kwamba nawenyewe wanatafuta?
 
mbona napotezea jamaa wanatiririka na minamba hpo eti mama watoto????
basi yangu hii 0752278569 nipo mail moja kibaha
 
ushauri wangu.
OMBA; MUNGU NI MUAMINIFU, HUWA ANAJIBU KWA WAKATI MUAFAKA.UKIOMBA MUME UNAPATA SAWASAWA NA HAJA YA MOYO WAKO.


USIJE HUKU JF KUTAFUTA MCHUMBA BILA KUJUA KUSUDI NA MPANGO WA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO.

SWALI -JE! HII NI NJIA SAHIHI KWAKO KUPATA MWENZI WA MAISHA,UNAAMINI KUPITIA HUKU WAWEZA KUPATA MTU SAHIHI?

Mwisho -

SULUHISHO LA HITAJI LAKO NI MUNGU KUINGILIA KATI.KWA NINI AINGILIE KWA SABABU NDOA/KUWA NA MKE NI MPANGO WA MUNGU NA SI WA MWANADAMU.NDO MAANA BAADA YA KUOANA MNAJUMUIKA WENYEWE BILA JIRANI WALA YEYOTE YULE PIA, NDO MAANA MNAPOKUTANA KITANDANI HUWA WAWILI TU BECAUSE OF THE SECRATE BETWEEN YOUR COUPLES.
 
Nahisi ntakuwa sahih nikikwambia mama wa makamo! Bt unafanya sahih mno kutafut mwenzi wa maisha! Hakuna formula ya kumpata mchumba asikudanganye m2! Asikuvunje moyo m2 yeyote, cha muhimu umetoa sifa muhm, mengine mtamalizana kwenye simu/mawasiliano mengine, si vizuri kila alieko jf awe na picha kamili ya ulivo, ambae yuko serious atapatikana! Good luck!
 
Mimi pia nipo serious ila umri wako kidogo hauendani na conditions zangu..
Kitu kimoja watanzanina tunashinndwa ni kutokuwa serious kwa mambo ya muhimu, kama kweli mtu ana nia ya kutafuta mchumba, haijalishi ni kwa mtandao, kanisani au wapi, popote pale na mkikutana ndio mnaangaliana na kuchunguzana kitabia.

Tumekuwa tunafuata maadili ya kizungu na moja ya njia wanayotumia wenzetu ni "online dating" kwa sababu watu wako busy na mda wanaoupata wanakaa kwenye computers zao kwa hiyo ni moja ya njia ya kumtafuta mwenzi wa maisha.

Watanzania, tuweni wastaarabu, tusiwakatishe tamaa wale wanaotuma networks na forums kama JF kutafuta wenzi.
 
hivi nyie mliokzana kuninanga umri umri mbona umri huu bado kabisa sio wa kuzaa abdormal?? by the way nawashukuru wote manaonitia moyo na wale mnaonikatisha tamaa pia hongera zenu maana kila mtu ana shida zake humu duniani na honereni kwa kuumbwa wakamilifu .GOD BLESS YOU ALL
 
BJEVI 15:04 1st February 2013
ushauri wangu.
OMBA; MUNGU NI MUAMINIFU, HUWA ANAJIBU KWA WAKATI MUAFAKA.UKIOMBA MUME UNAPATA SAWASAWA NA HAJA YA MOYO WAKO.

USIJE HUKU JF KUTAFUTA MCHUMBA BILA KUJUA KUSUDI NA MPANGO WA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO.

SWALI -JE! HII NI NJIA SAHIHI KWAKO KUPATA MWENZI WA MAISHA,UNAAMINI KUPITIA HUKU WAWEZA KUPATA MTU SAHIHI?

Mwisho -

SULUHISHO LA HITAJI LAKO NI MUNGU KUINGILIA KATI.KWA NINI AINGILIE KWA SABABU NDOA/KUWA NA MKE NI MPANGO WA MUNGU NA SI WA MWANADAMU.NDO MAANA BAADA YA KUOANA MNAJUMUIKA WENYEWE BILA JIRANI WALA YEYOTE YULE PIA, NDO MAANA MNAPOKUTANA KITANDANI HUWA WAWILI TU BECAUSE OF THE SECRATE BETWEEN YOUR COUPLES.

Na pia JIBU LA MUNGU KWA OMBI LA DHATI LA MJA WAKE HUWA HALINA FORMULA KWAMBA LITAPATIKANA WAPI NA LINI> LINAWEZA KUWA JF PIA.
 
mimi nnaomba utafute pic kwenye mtandao ya mrembo unayehic mnafanana kwa umbo! hayo mengine hayana tatizo
 
wewe chibolo unadhani kila mtu anatumika tu ila nashukuru maana kwenye jamii hamuwezi wote kufanana maneno na matendo ila jua huo sio ustaarabu

Do not argue with wee lads, They know nothing about love and life, they are stupid of all the time in this case. Carry on and God will bless you with a man of your choice, your "other half" to complete you mama....be of good courage on this and gird up your loin. Stay blessed always.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…