Mimi pia nipo serious ila umri wako kidogo hauendani na conditions zangu..
Kitu kimoja watanzanina tunashinndwa ni kutokuwa serious kwa mambo ya muhimu, kama kweli mtu ana nia ya kutafuta mchumba, haijalishi ni kwa mtandao, kanisani au wapi, popote pale na mkikutana ndio mnaangaliana na kuchunguzana kitabia.
Tumekuwa tunafuata maadili ya kizungu na moja ya njia wanayotumia wenzetu ni "online dating" kwa sababu watu wako busy na mda wanaoupata wanakaa kwenye computers zao kwa hiyo ni moja ya njia ya kumtafuta mwenzi wa maisha.
Watanzania, tuweni wastaarabu, tusiwakatishe tamaa wale wanaotuma networks na forums kama JF kutafuta wenzi.