Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Baada ya kutumika vya kutosha sasa ndo unakuja hapa jamvini kuwashika haya makubwa jamani!
habari zenu wanajamii forum mie ni dada wa miaka 34 ni mfanyakazi wa private organisation mojawapo ya mikoa yetu ya Tanzani napenda kujitokeza hapa kutafuta mwanaume ambae yupo serious na anahitaji mwenzi wa maisha ,elimu yangu ni ya chuo kikuu mimi ni mrefu ila sio mnene sana wa kawaida ,Nitashukuru kuwasiliana na watu ambao wako serious na wenye hitaji kama langu .Asanteni
Kutafuta mwenza siku hizi inatangazwa kama tangazo la kuuza kiwanja au gari.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums