Mimi ni member mpya humu. Naendesha Non Profit Oganiation, naomba mnikaribishe

Karibu.

Kuhusu swali lako.

Kwa sababu wabongo wenyewe tunajuana upigaji wetu, hao watu wa nje wengine bado wana imani nasi.

Lakini hata na hao wa nje wameanza kuamka, kina Trump wanakata misaada, Denmark wanafunga ubalozi, Sweden wamesema Tanzania is an aid sinkhole with nothing to show for decades of aid.

These are facts.

Tazama hawa wapiga dili wanazungumza wazi walivyopata US $10,000 za mchongo kwa kupasiana tu, hizi pesa zilitakiwa zitumike kusaidia watoto.

Meanwhile hawa "Save The Children" Tanzania hata kulipa kodi ya ofisi zao (rent) kwa wakati ni mgogoro.


View: https://www.instagram.com/reel/DejTWb-oPef/?rpxt=dGhldTVyMmF0NXpr
 
Napenda kuina mawazo yenu,je taasisi zinazohusika na fundraiser ndani ya nchi, kwanini hazioni taasisi changa na kuzipa misaada ,hali inayopelekea taasisi hizi ziombe msaada nje ya nchi.

"Kila mwanzilishi wa Asasi ya Kiraia (NGO) anajua ugumu wa kupata ruzuku ya kwanza. Lakini je, kwanini mifuko ya ndani haitupi kipaumbele? Na tunafanyaje ili watuamini wakati hatuna miaka miwili au mitatu ya ripoti za ukaguzi?"

Katika audio hii, tunachambua ukweli mchungu wa "Briefcase NGOs", siri za ruzuku za ndani (ambazo mara nyingi ni madaraja tu), na mbinu 4 za kimkakati za kuanza na ulichonacho, kujenga uaminifu (track record), na kufungua milango ya wafadhili bila kutegemea mamilioni.


Sikiliza sasa upate muongozo kamili!
Your browser is not able to play this audio.

​
 
Umenikumbusha MACK MUSHI WA ITALY.
 
Sawa sawa.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…