Mimi ni mfuasi mtiifu wa United States of America lakini naisikitikia Afghanistan

WaAfghan na mataifa mengine yenye itikadi kali hawajui nini wanataka.

Wamelilia USA aondoke Leo wameondoka wanalilia wabaki. Wapambane na hali yao
 
Piganieni HAKI kwenye nchi yenu.wabongo bana yakwenu yanawashinda mnajifanya mna uchungu na ya Afghanistan.
 
Waafghanistan hawataki demokrasia,kama wangekuwa wanataka demokrasia wasingewaachia watalbani wachukue nchi kizembe vile, jeshi linaandaliwa zaidi ya miaka kumi halafu linapigwa chini ya wiki mbili
 
Kumbe kuna watu wanaumizwa na mzee Mullah kujitwalia nchi yao,ulimwengu ilipofikia sasa ni kuongea kwa AK47,hii itawafanya wababe wa Dunia kubalance ubabe wao.
Nimecheka Sana,,,mwarabu anaroho ngumu Sana ,,,yaan pamoja na drone zote za mmarekani lkn wapi,,nchi imechukuliwa ndani ya dakika 45 tu.
 
Mimi wajibu wangu ni kumposti hapa mujahedeen wa Tanzania akiwa na wajahedeen wenzake😁😁😁
 
Waafghanistan hawataki demokrasia,kama wangekuwa wanataka demokrasia wasingewaachia watalbani wachukue nchi kizembe vile, jeshi linaandaliwa zaidi ya miaka kumi halafu linapigwa chini ya wiki mbili
Kama hawataki demokrasia kwanini wameonekana kukimbilia marekani?
 
'Super power' kapata aibu.
Aibu kuachia
Sharia law ni sheria zisizokidhi mahitaji ya ulimwengu wa Sasa...Sasa hivi wanawake wa Afghanistan hawataruhusiwa kufanya chochote zaidi ya kukaa ndani na hata wakitoka nje basi hawaruhusiwi kutoka wenyewe.hawaruhusi kufanya kaz yoyote ile si ajabu hata elimu Kama watapata inavyotakiwa
 
Wivu mbaya Sana ,,kuhodhi nchi ya wenzio ndio ugaidi Wenyewe .. Marekani Hana rekodi Nzuri ya kuwa msimamizi mkuu wa amani zaidi ya kuwa mvulugaji tu.
Labda haufahamu marekani imekwenda pale kufundisha jeshi la Afghanistan liwe imara ili liweze kupambana na vikundi vya ugaidi
 
Nimecheka Sana,,,mwarabu anaroho ngumu Sana ,,,yaan pamoja na drone zote za mmarekani lkn wapi,,nchi imechukuliwa ndani ya dakika 45 tu.
Marekani iliondoka muda mrefu sana ...inaonyesha hufuatilii kinachoendelea Afghanistan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…