Mimi ni mgeni Dar, je kukaa baadhi ya sehemu kunaweza kushape maendeleo yako?

Mimi ni mgeni Dar, je kukaa baadhi ya sehemu kunaweza kushape maendeleo yako?

Kaa popote mradi kuwe na utulivu tu haijalishi ni mbagala mkuu ushawahi fika Kijichi? Kuna watu wanaishi...
Dar only connections ndo zitakushape kaka kinyume na hapo utasugua sanaa asikudanganye mtu..
Usisahau kuloga mkuu.
 
Maendeleo yako ni akili yako havihusiani chochote na unapokaa.

Kuna mbwiga anaishi Sinza kwa kulipa kodi ya laki 6 kwa ki apartment uchwara huku akitegemea mshahara. Na kuna mwamba anaishi Kitunda ambapo ni nyumba yake mwenyewe, anamiliki nyumba nyingine ya kupangisha Sinza, ana mradi wa kuku na ng'ombe pamoja na kuchukua kodi ya chumba sebule kama tano alizojenga huko kitunda ukiacha kodi ya nyumba ya Sinza.

Ukiwakuta mjini, wa Sinza anajiita yeye ni mjanja kwa vile tu kapanga Sinza kwenye nyumba ya mkazi wa Kitunda. #truestory#
 
Back
Top Bottom