Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Unaweza kusema unafanya kazi bandarini kumbe KULIKukaa sinza, Kinondoni, Mbweni na Goba
Au kukaa Buza, Mbagala, Mbande, Kongowe, Manzese, Tandika nk
Ipi Bora?
Teseme ukweli, Dar siyo Mji wa kuishi mkuu..Kukaa sinza, Kinondoni, Mbweni na Goba
Au kukaa Buza, Mbagala, Mbande, Kongowe, Manzese, Tandika nk
Ipi Bora?
Ndiowew ni mgeni dar unasubiri upewe location ndo ukatafute nyumba si ndio?
Nayo ni KAZI lakiniUnaweza kusema unafanya kazi bandarini kumbe KULI
Sawa ahsanteNenda kigamboni
MbweniKukaa sinza, Kinondoni, Mbweni na Goba
Au kukaa Buza, Mbagala, Mbande, Kongowe, Manzese, Tandika nk
Ipi Bora?
Sijabisha nimetumia kama mfanoNayo ni KAZI lakini
https://www.facebook.com/Unaishi sehemu kutokana na kipato chako, mahala pako pa kujitafutia riziki etc