Mimi ni mgeni hapa JF

Naomba Kuliza pia Kwa ane elewa naitaji ushauri tatizo la kuwahi kumaliza tendo la ndoa husababishwa na nini na suluhisho lake pia tuseme round ya Kwanza unaweza kuwahi ukasema ujipange upya Kwa round ya pili lakini pia na ya pili inakua hivyo hivyo unatumia dakika moja hivyo shida inakua nini
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Hapo tatizo ni break tu zimelegea...
 
Mara baada ya ndoa kufungwa, matendo yote yanayofuata ni ya ndoa, ni tendo gani hasa ulilokua unalikusudia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…