Mimi ni mgeni hapa JF

Mimi ni mgeni hapa JF

Sisi tinawaza bandari yetu kupewa muarabu bure wewe tinawaza ngono tu. Hiyo simu mrudishie dadako upesi
sasa bandar atanufaika nayo nani s uzao wetu na uzao wetu bila sexal utapt wapi mtt
 
Bandari inafanya kazi sasa hivi na haina shida yoyote. Uvivu na ufisadi wenu ndiyo umetufanya tuwape watu walio serious, waarabu.
Mtu anayewaza chini tu kama wewe tukimpa bandari aiendeshe, badala ya kufikiria ufanisi yeye atafikiria chini na kuongeza nyumba ndogo.
 
[emoji119]
 
Back
Top Bottom