Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Ni Photoshop wacha ubishi mzee babaSiyo Photoshop hiyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Photoshop wacha ubishi mzee babaSiyo Photoshop hiyo!
Ni Photoshop wacha ubishi mzee baba
ThubutuuuDah! Hiyo picha halisi angalia mazingira ya huyo dogo utagundua ni halisi.
Tazama kwa makini.Thubutuuu
Kuna mtu nilimwambia huo mguu kwa avatar sio Photoshop akakomalia kusema ni Photoshop CCNi Photoshop wacha ubishi mzee baba
Haha! nme tumia codes mkuusiyo hater ITAZAME vizuri hiyo picha ni Photoshop kabisa
Wabishi halafu hawaelewi mada iko wazi mtoa mada kaomba likes, post iko no 70+ likes ziko 13 tuu... Sijui ni rohombaya?
fb imerudi kwa kasi baada ya shule kufungwa.
baba Mshana Jr....Wabishi halafu hawaelewi mada iko wazi mtoa mada kaomba likes, post iko no 70+ likes ziko 13 tuu... Sijui ni rohombaya?
Mpe like yake kwanza mwenye mada... Ndio ombi lake kuu[emoji23]baba Mshana Jr....
LIKE hutolewa kwa mapointi utakayoyaandika... UKIFUKA MOSHI WA KUNI MBICHI HUTAPATA
Akaandike kwa wingi kule kwenye UZI WA KUPEANA LIKE...Mpe like yake kwanza mwenye mada... Ndio ombi lake kuu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado ni mgeni huko hakujui badoAkaandike kwa wingi kule kwenye UZI WA KUPEANA LIKE...
Kwa vile tumeshamtaarifu kuwa kuna uzi maalumu wa kupeana LIKES, basi autafute na kuandika chochote atapata LIKE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado ni mgeni huko hakujui bado