Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Nasa ya tandaleHabari wakuu
Leo nipo free uliza swali lolote la mawasiliano... nina uzoefu wa miaka mitano katika mawasiliano hapa NASA.
shukrani
Hapana mkuu ni U.S.ANasa ya tandale
Harvard mkuuUlipata wapi elimu yako?
sababu za kiusalama siwezi jibu hili swali mkuuKwakuwa ni swali lolote sawa,
Taja jina lako,
Umri wako,
Mzawa wa mkoa gani
Jinsia najua utakuwa mwanaume,
Neil Armstrong alitua mwezini mkuuNi kweli Armstrong hakuwahi kutua mwezini
Sio za kweli maana hakuna video kama hiyo.Zile habari kuwa wafanyakazi wote wa NASA Mnaliwa kinyeo ni zakweli,na Ile video iliyovuja haikuwa yako??
Kama sio wewe uliyekuwa ukiliwa kwenye Ile video type ushahidi
Kwanini safari ya kwenda mwezini tena imekuwa ngumu kuliko kwenda Mars japokuwa mwezi uko karibu zaidi?Habari wakuu
Leo nipo free uliza swali lolote la mawasiliano... nina uzoefu wa miaka mitano katika mawasiliano hapa NASA.
shukrani
Ungemuuliza jee kweli aliwahi kutua ?Ni kweli Armstrong hakuwahi kutua mwezini
Ajibu kwa ufasaha sana hili swali..Kwanini safari ya kwenda mwezini tena imekuwa ngumu kuliko kwenda Mars japokuwa mwezi uko karibu zaidi?