Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Sawa ndugu Telecommunications EngineerUnited States of America
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ndugu Telecommunications EngineerUnited States of America
Dr upo serious na maswali yako 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Wacha tujisumbue tu
Ukorofi huuHivi ulishapata kazi ya kufuta vumbi kompyuta za maofisi ya serikali?
Sahili za vitendo (practical) kada network administrator wanatoa maswali ya namna gani?
Habari Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.www.jamiiforums.com
Unethical mkuuNitajie IP address yangu.
Je? NASA ilifanikiwa vipi kuudanganya ulimwengu ati mwanadamu..kina Neil Amstrong walitua mwezini?Habari wakuu
Leo nipo free uliza swali lolote la mawasiliano... nina uzoefu wa miaka mitano katika mawasiliano hapa NASA.
shukrani
Uliza swaliUkorofi huu
Hakuna ilo zoeziLile zoezi la kupanda mimea mwezini lilifanikiwa kwa kiwango gani?
Hatukudanganya tulifika.Je? NASA ilifanikiwa vipi kuudanganya ulimwengu ati mwanadamu..kina Neil Amstrong walitua mwezini?
Bora ungesema MITHarvard mkuu
Sifahamu mkuuBosi wenu anawatoto wangapi? Naomb nijibu kisayans na ki nasa nasa ili niamin
Mimi nimesoma HarvardBora ungesema MIT
LipoHakuna ilo zoezi
Hapa sina jibu mkuu😂😂Yule Jogoo aliyewika baada ya Petro kumkana Yesu mara tatu alikuwa wa nani? Na alikuwa anatuma mawasiliano kwa nani?
Harvard ya shivaz au ya mwananyamalaMimi nimesoma Harvard
HakunaLipo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndugu yangu umefanya asubuhi yangu kuanza vzuri. Ubarikiwe huko ulipo.Yule Jogoo aliyewika baada ya Petro kumkana Yesu mara tatu alikuwa wa nani? Na alikuwa anatuma mawasiliano kwa nani?