Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Ukiwemo na wewe au sioHatukudanganya tulifika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwemo na wewe au sioHatukudanganya tulifika.
Mimi sikuwepo mimi ni kijana tu late 20'sUkiwemo na wewe au sio
Dogo, kubali umedanganya kisha uje PM nikupe kazi.Mimi nimesoma Harvard
Kabla ya hapo? Scholarship au self funded?Harvard mkuu
Nguvu ya kuinua chombo kutoka mwezini wakati wa kurudi ilipatikanaje?......zingatia huku duniani tulishuhudia lile dubwasha linavyoondoka kwa nguvu nyingi.....iweje mwezini inyanyuke kama ka mdudu?Hatukudanganya tulifika.
Hujajibu swali kwa ufasaha... Hizo factors ni zipi? Kama iliwezekana kwenda mwezini miaka hiyo mingi iliyopita, ni kwanini sasa mnapotaka kurudi iwachukua muda mrefu wa maandalizi na huku mmeshusha vyombo zaidi pale Mars kuliko mwezini? Kama mnaweza kupeleka vyombo zaidi Mars kwa kipindi hiki chote, kwanini sio mwezini ambapo ni karibu zaidi na kwanini maandalizi yachukue muda mrefu wakati mliweza kipindi amabcho hata computer iliyokuwa inaongoza mision yote haikuwa na ram ya 250mb wala processor yenye uwezo wa intel atom. With all these advancements, kwanini inawachukua muda sana. Hili ndilo swali langu.safari ya kwanza ilikuwa ni kushinda mbio za nani wa kwanza kufika mwezini.
NASA sasa hivi tumeamua kuprioritize international space station, robotic exproliation na other programs.
Pia cost ni kubwa sana nature ya safari ya mwezini issue si umbali tu kuna factors nyingi sana.
Lastly, sasa hivi kwenda mwezini ni more of a prestigious trip kuliko faida.
Mi kazi ninayo ni mhandisi wa mawasiliano NASA.Dogo, kubali umedanganya kisha uje PM nikupe kazi.
Depression za kukosa kazi mbaya sana usije ukaishia kuuza viungo vyako.
Offer ipo for 30mins pekee. Omba msamaha kwa kudanganya ndo uje PM
Mkuu priorities... mars tunaangalia uwezekano wa kuishi huko mwezini kuna faida gani?Hujajibu swali kwa ufasaha... Hizo factors ni zipi? Kama iliwezekana kwenda mwezini miaka hiyo mingi iliyopita, ni kwanini sasa mnapotaka kurudi iwachukua muda mrefu wa maandalizi na huku mmeshusha vyombo zaidi pale Mars kuliko mwezini? Kama mnaweza kupeleka vyombo zaidi Mars kwa kipindi hiki chote, kwanini sio mwezini ambapo ni karibu zaidi na kwanini maandalizi yachukue muda mrefu wakati mliweza kipindi amabcho hata computer iliyokuwa inaongoza mision yote haikuwa na ram ya 250mb wala processor yenye uwezo wa intel atom. With all these advancements, kwanini inawachukua muda sana. Hili ndilo swali langu.
Vizuri mkuuKaka humu wote tumesoma Havard.
[emoji23][emoji23][emoji23] blaza unafukua makaburi asbuhi yote hiiHivi ulishapata kazi ya kufuta vumbi kompyuta za maofisi ya serikali?
Sahili za vitendo (practical) kada network administrator wanatoa maswali ya namna gani?
Habari Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.www.jamiiforums.com
Mimi sio astronaut bali ni muhandisi wa mawasilianoPosho ya safari ni pesa ngapi huko?
Kwanini mwezini isiwezekane kuishi? Kuna tofauti gani ya kuishi mwezini na Mars? Maana mpaka sasa mnasema mmeona traces of water chini lakini hamjawez akuthibitisha uwepo wake kiuhalisia. Same ili watu kusurvive itabidi makazi yawe underground ili wasiwe kudhurika kwa radiations. So, tofauti yake na mwezi ni ipi? Ni kipi ambacho Mars inakioffer mpaka sasa ambacho mwezi hauna mkuu?Mkuu priorities mars tunaangalia uwezekano wa kuishi huko mwezini kuna faida gani?