Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Wakristo Bila haya husema mungu wao ni YESU! waislamu sio hivyo, usilazimishe unduguMungu ni mmoja,
Ukristo,
Uyahudi,
Uislam na dini zingine,ni njia tu ya kumfikia Mungu mwenye haki.
Yaani umeshuka kwenye Golden deer umeamua kupanda Majinjah kifupi safari yako utafika tu
Eti Mungu ni mmoja, hamna kitu kama hicho. Haiwezekani Mungu huyo huyo awe anaruhusu wakristu kula kitimoto alafu awakataze Waislamu wasile. Ni wewe tu umeamua kwa kutumia u-stupidity wako kuwa muislamu, sisi haituhusu. Kamueleze mkeo
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima,tatizo mtume alioa. Mtoto wa miaka 9,hiyo ndio tofauti ya Yesu na mtume.Yesu alikuwa mwadikifu mno
Mungu yupi? Allah au?
Ndiyo mafundisho ya mchungaji wako Tito ??Narudia tena koran ni kitabu kidogo kama kipeperushi, hakina kipya zaidi ya majini kuwa waislamu na mambo ya ngono kwa kumpendelea Muhammad
Asante kwa uelewa kidogo kuhusu YesuWewe hamumjui Yesu ila unajidanganya
Yesu ana mama yake so Mungu wako ana mama?
Yesu ana dada zake aliyozaliwa nao tumbo Moja so Mungu wako Kuna watu ni kaka Yao
Yesu dada zake walizaa so Mungu Kuna watu ni mjomba wao
Yesu alicheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya so Mungu wako Kuna watu rafiki Yao wa utotoni
Yesu alikuwa anatumwa na mama yake aende dukani akanunue unga wa ngano na mafuta ya taa
Sisi waislam na Yesu Mungu wetu ni mmoja na ndio maana stail zetu za kumuabudu Mungu wetu zinafanana kupeleka paji la uso chini Yani kusujudu
Alafu hata mchungaji wenu Lusekelo Kila siku anakuambieni kuwa Yesu sio Mungu kwanini HAMUELEWI
So umeenda kwa wazee wa mabikra 72 pamoja na wavaa kobazi. Mudi aliwapiga na kitu kizito kichwani. Eti hamtaki elimu dunia, sasa umeona madhara yake unakuja kuandika ujingaNimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
Acha mihemko tulia uandike vizuri ueleweke!Kwa hiyo mtu kuitwa muislamu ndiyo kuwa mtakatifu au kuwa hauna dhambi ? Nikisema waislamu awatumii akili sija kosea
haya ndiyo yale ya wapumbavu wanaodhani kuwa kama duniani kusipo kuwa na dini nyingine isipokuwa dini yake basi dhambi isinge kuwepo watu wote wange kwenda peponi ....wapumbavu tumieni akili hakuna dini ambayo ukiwa ndani yake basi dhambi haiwezi kukupata... sasa hiyo hukumu ya muhammad ni uhuni tu, maana hata wasio waislam wanaweza kuchochea wengine dhidi ya uislamu .....mungu uhukumu watu adhabu kwa sababu ya dhambi aijalishi dini gani ambayo ambayo mtu yupo ...sasa hiyo hukumu ya muhammad ni yakiuni kwa sababu ana ukumiwa mtu kwa sababu tu katoka Uislamu wakati ndani ya uislamu dhambi zimetamalaki ....kwa yoyote mwenye qkili ya kupambanua haki na batili hapo tu anaweza kujua kuwa Muhammad ni mtume feki ...UKIONA MAFUNDISHO YOYOTE YANAYO DAIWA NI DINI YANAYO HUKUMU WENGINE NJE YA MISINGI YA DHAMBI BASI JUA MOJA KWA MOJA HIYO DINI NI MALI HALALI YA IBILISI SHETANI...Mfano mwizi muislamu anapo kuwa muislamu na mwizi huyo ni bora kuliko mwizi asiye muiskamu ?je malaya muislamu ni bora kuliko malaya asiye muislamu ...shoga muislamu ni bora kuliko shoga asiye muislamu ?😁😁😁😁nikisema uislamu ni upumbavu mwingine duniani sijakosea ndiyo maana waislamu wanalalamika wakisikia choko kwenye jina la kiislamu kaenda kanisani ....utasikia wanasema huyu choko(shoga) mpumbavu sana kwanini kaanza kwenda kanisani wakati yeye ni muislamu..hivyo waislamu wanalilia choko lao libaki misikitini🙄🙄🙄🙄🙄
Wanamuiga muhammad hao.... hayo mambo yameanzia kwa mtume tena mtume mkuu kama anavyo jinadi.Kwa staili hii ya askofu kulamba ulimi wa kwenzake hadharani hata mimi ningehama dini hamna dini hapa
View attachment 3262104
Acha kuwa mateka wa dini. Mwamini MunguNimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki
Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni vituko kila kukicha.
Tumeshuudia pastor anaogesha wanawake madhabahuni...manabii wanatabiri mambo ya uongo...juzi tumeshuhudia wachungaji wanalambana ndimi...ni mambo machafu yanayoendelea kwenye Ukristu na mbaya zaidi Wakristu wenyewe hawana uchungu na dini yao wao wanachoamini ni kua Mungu mwenyewe atajipigania na dini yake.mnaacha kukemea uchafu mungu aje akemee kwa niaba yenu?!
Uislamu ndo dini ya haki na wenye dini yao wanajua kukemea mambo ambao yako kinyume na dini yao hata kama yapo ndani ya utandawazi lakini ni lazima yawe yanaendana na mafundisho ya mtume wao.
Anachoamini Muislamu wa Tanzania ndo hiko hiko anachoamini muislamu alieko Kenya ..Nigeria..Saudia na kwingineko...kwa mfano Muislamu anaetoka saudia leo hii anaweza kuingia kwenye msikiti wowote wa hapa Tanzania na akaswali bila tatizo lolote kwasababu ni dini iliyonyooka na aina maigizomaigizo tofauti na Ukristo ambao kila mchungaji anataka kubuni la kwake kutoka kwenye kichwa chake
Hatukatai kwamba kuna tofauti zipo za kiimani ndani ya Uislamu lakini tofauti ni za kutafuta kumlingania allah na pia tofauti zao zina hoja ya mafundisho ndani ya quran hadithi na sunnah za mtume wao na hata kama zinaweza kua ni hoja dhaifu ila lengo ni kujenga na kuitafuta kweli lakini sio maigizo ya sisi wakristu ambayo mengine ni kufuru hata mungu mwenyewe akiona anaona aibu
Ingefaa sana kama dunia nzima ingekua na dini moja uislamu naamini maovu yangepungua ulimwenguni kama kuna muislamu atakaesoma hili bango naomba anipe utaratibu wa kuslimu nimechoka na komedi na utapeli wa sisi makafiri
Sijaongea haya kwa ubaya au kutafuta kuleta chuki kwa waislamu na wakristu ila kama wakristu inabidi wajitafakari Ukristu wao unaelekea kubaya. Dini haina fomula maalum kila mtu anatafsiri maandiko kwa namna yake kwa faida yake na wengine kwa ajili ya kupiga hela.
So umeenda kwa wazee wa mabikra 72 pamoja na wavaa kobazi. Mudi aliwapiga na kitu kizito kichwani. Eti hamtaki elimu dunia, sasa umeona madhara yake unakuja kuandika ujinga
😂😂😂😂😂
Wamamuiga muhammad hao.... hayo mambo yameanzia kwa mtume tena mtume mkuu kama anavyo jinadi.
Wewe unaleta ushabiki ...Muhammad ndiyo alifanya hivyo kumnyanya yule mtoto wa kiume
YESU NI MWILI NA NAFSI ....NAFSI NI MTAWALA WA MWILI YENYEWE NDIYO INAUTUMA MWILI KUFANYA UFANYAVYO ....NAFSI NI MFALME WA MWILI WAKE MTU .....HIVYO YESU ALITUMWA NA NAFSI YAKE AMBAYO NDIYO MUNGU ....maana inasema mwana anatenda tu yale yampendezayo baba, tafsiri yake ni mwili unatenda yale tu yaipendezayo nafsi yake ambayo ndiyo baba ambayo ndiyo MunguYesu ametumwa na Mwenyezi Mungu. Ametumwa awendee nani? Hebu tuiache Biblia itueleze:
Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Mathayo 15.21-28
Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."
Hakuwajia Waarabu, wala Wazungu, wala Wahindi, wala Waafrika, wala Machina. Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu:
Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."
Ikiwa ipo shaka yo yote katika akili ya mtu kuwa maana ya maneno hayo ni kuwa Yesu anasema kuwa hakutumwa kwa kabila nyengine zo zote ila Waisiraili tu na atazame mwenye shaka tafsiri kubwa kabisa ya Wakristo inayoeleza maana wazi maneno ya Biblia, The Interpreter's Bible, sahifa 441 jalada VII ambamo imeandikwa hivi:
"Yaonekana wazi kuwa Yesu hakika aliamini kuwa ujumbe wake kwanza na khasa ni kwa watu wake mwenyewe." Ndio maana alisema:
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua. Mathayo 7:6