Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

Endelea kuruhusu Majini yakuingiee

Yakishafika 200+ Utaropoka tena kwamba Baba yako na Mama yako sio wazazi wakoo.

Umeokotwaa
 
Jiandae kupata mabikira 72
Yesu alisema njia ya uzima ni nyebamba ila iendayo kuzimu ni Pana, na ndio maana mtahama Ukristo sana tu mkienda kwa hayo madude ya jehanamu, huko mumeahidiwa mara pombe, mabikira na vyote.
 
Hapana dada Jagina hayo ni mafundisho ya Allah akbaru ambae ni = na shwetani.

Aaaah hapana nimekosea, eti nasikia mudi yeye anakaupendeleo cha mabikira 80.
 
Umefurahi mpaka unaandika vitu hata havieleweki Ila ukweli Jessy fundi kweli , hivi una akili kweli unaamini zile hadithi zake jessy anawaambia eti jini lilimpa lift na kumwonyesha miji , Ndio maana wengi wenu ndio vile tena
Mvaa kovazi kweli hamna akili, kwamba Jessy alipelekwa na jini
😂😂😂😂😂😂
 



Sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia,tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo mnang’ang’ania
usahihi wa Biblia, basi mjuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
 
Issa alizaliwa kwenye mti wa mtende lakini Yesu alizaliwa kwenye holi la ngo'mbe. kwa hiyo hao ni watu wawili tofauti. Hii ni sawa na kusema allah ni Mungu wakati allah ni shetani.

sasa wewe dada yangu Jogina mwenzako Mudi ni mwanaume kaongezewa mabikira anao 80. Sasa wewe dada utapewa nini ? Au kuna mijibaba ipo huko kwa ajili ya kukushughulikia ?
 
uheshimu moyo wako, nenda katika msikiti wa karibu mwone imamu atakupa utaratibu wa kusilimu na kuwa muislamu. Uislamu hauna maigizo, jana, leo wala kesho.
 

Basi Pilato akaingia tena ndani ya Praitorio, akamwita Yesu, akamwambia, Je! Wewe ni Mfalme wa Wayahudi? Yesu akamjibu, Wewe wasema hivi kwa nafsi yako, au watu wengine walikuambia habari zangu? Pilato akajibu, Ama! Ni Myahudi mimi! Taifa lako na wakuu wa makuhani ndio waliokuleta kwangu. Umefanya nini? Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa. Basi Pilato akamwambia, Wewe u mfalme basi? Yesu akajibu, Wewe wasema, kuwa mimi ni mfalme. Mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya, na kwa ajili ya haya mimi nilikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Kila aliye wa hiyo kweli huisikia sauti yangu.

Ukiyasoma maneno haya, na kama Roho wa Mungu akakuongoza, utafuta andiko lako.

NB. Mshindi na mtawala wa Ulimwengu ni shetani, ndiyo maana maovu mengi yanatendeka.

Yesu Kristu ni mfalme wa mbinguni, na ufalme wake hauna mwisho.

Yeyote ambaye haisikii sauti ya Yesu Kristo, bila kujali kama myahudi au mwarabu, ina maana huyo siyo wa ukweli, na asiye wa ukweli, atakuwa wa ufalme wa shetani, maana mfalme wa uwongo na hila ni shetani.
 
Sio kila Muislam anaweza kuingia kwenye kila msiki ondoa kwanza hilo neno Shia hawezi kuingia Sunni na Sunni hawezi kuingia Alawiyah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…