Mimi ni mlizi, leo siku vizuri kiafya sasa bosi wangu alinikuta nimelala akanipiga picha na kuweka kwenye group

Balejr

Member
Joined
Jul 1, 2024
Posts
8
Reaction score
28
Mimi nafanya kazi ya ulinzi

Siku ya Leo sikua vizuri nilikuwa najisika vibaya kiongozi alinikuta nimemlala nakunipga picha mi nachojua ukikutwa nakisa kama ilo unakatwa pesa lakini Cha kunishangaza amefungua group wasap nakupost picha yangu je ni sahihi Ii wakuu?
 
Kwanini ulalee kazini ilihali kazi yako ni ulinzi ndio makosa yapo na udhaifu upo ila yapaswa kujikaza alichokifanya pia boss wako sio vizuri inaonekana ni mtu wa aina yake ila usiruhusu udhaifu kama uo tena maana umeshawekwa kwenye spotlight sasa kama yule mlinzi anaee lala. Nakuachiaa hii kijana " unaota kulinda utaweza ulinzi?"
 
Wangekata tu pesa ila jamaa akaamua kukudhalilisha.

Huo ni udhalilishaji (humiliation) na hakuna namna ingine ya kuelezea.

Jikaze mkuu vumilia yapite maana ulinzi ndo wakupatia ugali wako kazi ni ngumu kupata.

Hakikisha wapata usingizi wa kutosha wakati wa mchana, na hapo kazini uwe na kaTV kadogo (wachina wanazo pale Congo Street), box ya kahawa na kashata na usisahau karanga au korosho husaidia kusogeza usiku.

Pia uombapo likizo hakikisha watumia zile rest days wachanganya na siku za likizo kufanya kama kawiki hivi upate muda mzuri wa ku-recover na kuwa na familia pia.
 
Mimi nafanya kazi ya ulinzi

Siku ya Leo sikua vizuri nilikuwa najisika vibaya kiongozi alinikuta nimemlala nakunipga picha mi nachojua ukikutwa nakisa kama ilo unakatwa pesa lakini Cha kunishangaza amefungua group wasap nakupost picha yangu je ni sahihi Ii wakuu?
Pesa hiyo..kusanya ushaidi mfungulie kesi haraka...
 
Lakini watanzania yaani mtu kaajiliwa kufanya kazi ya lindo, anaenda kazini boss kamkuta kalala bado anadhani kaonewa.

Huko kwa wazungu kazi ya lindo usiku kuna button kila nusu saa unatakiwa kubonyeza; usipofanya hivyo boss ana assume ulilala kwenye shift kesho yake huna kazi.

Sasa wewe mwenzetu umefumaniwa umelala kabisa lindoni bado unadhani umeonewa.

Only in Africa
 
Mimi nafanya kazi ya ulinzi

Siku ya Leo sikua vizuri nilikuwa najisika vibaya kiongozi alinikuta nimemlala nakunipga picha mi nachojua ukikutwa nakisa kama ilo unakatwa pesa lakini Cha kunishangaza amefungua group wasap nakupost picha yangu je ni sahihi Ii wakuu?
Shitaki dai fidia ukilipwa utambae.
Jina lake na kampuni si unalo.
Na ushahidi group aliloanzisha.
Unangoja tukushauri nini.
.bwai iwe mbwai tu.
 
Lakini watanzania yaani mtu kaajiliwa kufanya kazi ya lindo, anaenda kazini boss kamkuta kalala bado anadhani kaonewa.

Huko kwa wazungu kazi ya lindo usiku kuna button kila nusu saa unatakiwa kubonyeza; usipofanya hivyo boss ana assume ulilala kwenye shift kesho yake huna kazi.

Sasa wewe mwenzetu umefumaniwa umelala kabisa lindoni bado unadhani umeonewa.

Only in Africa
Anasingizia eti alikua anajisikia vibaya.kama mtu anaumwa kwa nini asingeomba kupumzika?
 
Back
Top Bottom