Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Wabeba box wana Jf ni easy kuwajua, utawakuta online usiku hawalali...

Kina Nyani Ngabu na Wenzake

Boflo unampenda sana mshkaji ehhhhh? Maana hujaanzisha thread usimtaje!!
 
Boflo unampenda sana mshkaji ehhhhh? Maana hujaanzisha thread usimtaje!!

Lizzy acha wivu huo...

Tutajie kabila lako Lizzy

I guess unatoka nyanda za ziwa
 
Wee swahiba hata sevaban haikutoshi....khaaaa!!

Kaka Boflo mie natoka SayuSayu mwaya eeh!

bht kumbe tuna udugu..

Nimefurahi kulijua hilo.

Unapatikana pande zipi kwa sasa
 
bht kumbe tuna udugu..

Nimefurahi kulijua hilo.

Unapatikana pande zipi kwa sasa

mie siku zote najuaga tu Boflo lazima tutakuwa na undugu sio bure...

Nipo huu mkoa mpya wa Simiyu kwa sasa, wewe wapi kaka?
 
mie siku zote najuaga tu Boflo lazima tutakuwa na undugu sio bure...

Nipo huu mkoa mpya wa Simiyu kwa sasa, wewe wapi kaka?

Mimi niko Dar Upanga..
Nikija huko nitakutafuta.
Na ww ukija Dar nataka tuonane
 
Mimi niko Dar Upanga..
Nikija huko nitakutafuta.
Na ww ukija Dar nataka tuonane
Upanga mtaa gani Boflo? Nakuja huko soon halafu mi nikiwa Dar nakuwa upanga west, Kiwanuka/mataka street
 
Upanga mtaa gani Boflo? Nakuja huko soon halafu mi nikiwa Dar nakuwa upanga west, Kiwanuka/mataka street
Hapa umeshampoteza...anafahamu tu upanga, but mitaa haifahamu!
 
Upanga mtaa gani Boflo? Nakuja huko soon halafu mi nikiwa Dar nakuwa upanga west,
Kiwanuka/mataka street

niko Upanga East, close to Shaban Robert Itakuwa bomba tukionana,
 
niko Upanga East, close to Shaban Robert Itakuwa bomba tukionana,
Haina mbaya
Mitaa hiyo kuna rafiki yangu anaitwa Supa, pale karibu na mzumbe uni, unamfahamu?
 
Hapa umeshampoteza...anafahamu tu upanga, but mitaa haifahamu!
Hahahaa Rejao acha uchokozi aisee, Boflo toto la upanga East mitaa ya karibu kabisa na olimpio na daimondi na shaaban robert
 
Hahahaa Rejao acha uchokozi aisee, Boflo toto la upanga East mitaa ya karibu kabisa na olimpio na daimondi na shaaban robert
Wewe umesema west yeye akadakia fasta fasta east! Hizo mzumbe un,diamond, olimpio hata hazifahamu! Kama unabisha muulize muhimbili, Tumain hosp au makao makuu ya JWTZ yapo pande zipi!
 
Back
Top Bottom