Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

Mimi ni Mnyamwezi , Na Wewe Je??

usiniumbue basi hani
ujue mie nimekulia Obey kabisa, basi tu.

Afu sikubahatika kufika kariakoo kabisa, naskia mitaa ya huko huchanganya.
Hapo nakuamini, kariakoo unaweza ukawa kweli hupafahamu! watoto wengi wa Obey mnafungiwa tu ndani kama mikuku ya kisasa!
 
Majukumu ndio yamenizidi kipenzi changu...nakitengenezea maisha mazuri hicho kiumbe chetu ndani yako!

Pole mme wangu,na mie wajibu wangu kukitunza kwa uangalifu miez michache ijayo ufurahie kuitwa baba!
 
Nakisubiri kwa hamu!
Lazima kitakuwa na sura kama ya baba yake!!

Haswaaaa!lzm afanane na baba yake,hata km atafanana kidogo na mie but nitafurahi zaidi km atakua na pua kama ya baba yake!
 
Hapo nakuamini, kariakoo unaweza ukawa kweli hupafahamu! watoto wengi wa Obey mnafungiwa tu ndani kama mikuku ya kisasa!
Pls Rejao na sisi mjaribu kutufafanulia vizuri hy mitaa ya jiji, si unajua tangu tuzaliwe hatujawahi kuigusa Dar.
Sijui mwaka gani tutafika?
 
Pls Rejao na sisi mjaribu kutufafanulia vizuri hy mitaa ya jiji, si unajua tangu tuzaliwe hatujawahi kuigusa Dar.
Sijui mwaka gani tutafika?
Bora mkuu umesema mapema...karibu sana jijini, huku hamna jipya zaidi ya mifoleni!
 
Back
Top Bottom