[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..
Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..
Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..
Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Heee. Humu sijui kama utapata mume bora. Mitandaoni siyo mahala pakupata mume ILa kila la kheriMimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
Njoo pm fast tuyajengeMimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
Nakupataje ssMimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
Atapata maana kuna wengi washapata kupitia hapa JFHeee. Humu sijui kama utapata mume bora. Mitandaoni siyo mahala pakupata mume ILa kila la kheri
mkuu. mlifikia wap na yule mgoni wako. maana hukuleta mrejesho kabisaUnatafute mume jamii forum afu hao mtakao zaa watakua watoto au threads tupu?
Uskate tamaa. Nakutakia kila la kheri