Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
Yaani ungepunguza masharti kidogo, hasa hapo kwenye bia, natumaini ungebeba mzigo muda siyo mrefu
 
Ww ulisema humu ni mgeni mara umeshapajua kiasi cha kumwambia mwenzio hawezi kupata mume bora?!

Au ulishajaribu kutafuta ukakosa?

Acha kumkatisha mwenzio tamaa
Amezungumzia mitandao kwa ujumla wake na sio Jf peke yake
 
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
Inasemekana mwanaume asiekunywa pombe anakuwa mzembe mzembe na pia anakuwa na gubu balaa sababu mda mwingi yupo nyumbani anagombania remote za tv na watoto!
 
Amesema mitandaoni sio sehemu ya kupata mume. Na amesema humu kwa sababu hum pia ni mtandaoni
Yeye alishatafuta humu akakosa?!

Wapo watu wanapata ndoa mitandaoni cha msingi ni kutomkatisha mtu tamaa kama yeye kakosa basi asiwaaminishe wenzie kuwa hamna watu wazuri mtandaoni maana hao wa mtaani na mtandaoni ni watu walewale
 
Kuhusu hayo mengine sijui ila jibu langu lilitokana na hoja yako ya ugeni na kile alichoandika
 
Wala haijabadilika. Tangu mwanzo nilikujibu kwa ile hoja ya ugeni wake wa humu na kile alichokisema bila kujali ni cha kweli au la
Kwahiyo hoja yake ya kusema kuwa mwenzie hawezi kupata mume bora humu ndio unayoitetea wakati yeye kaombwa kukaribishwa humu sidhani hata kama wiki imeisha na humu kuna member zaidi ya milioni 3.
 
Mie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..

Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..

Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..

Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naona umeamua kuvunja watu asubuhi hii. kwenye nyekundu umeniacha hoi
 
Back
Top Bottom