Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Utapata binti, endelea kuomba mungu
 
Haya mambo yameshakuwa kawaida sanaeee..... Siku si chache unabii utatumia..... Isaya 4:1... Maana male to female ratio hapa tz inatisha
 
Kwahiyo hoja yake ya kusema kuwa mwenzie hawezi kupata mume bora humu ndio unayoitetea wakati yeye kaombwa kukaribishwa humu sidhani hata kama wiki imeisha na humu kuna member zaidi ya milioni 3.
We nae unapenda ligi kama nini. Sijui ni wapi ambapo hatuelewani...inawezekana humu amekaribishwa karibuni lakini ni mzoefu wa kutumia mitandao mingine kwa hiyo hoja yake ameitoa kwa kutumia uzoefu wa mitandao mingine na kama alichosema sio sahihi ulitakiwa umpinge kwa hoja na sio kumpinga kwa sababu ya ugeni..yes ni mgeni Jf lakini social media zingine anatumia. I'm out
 
Nawewe sijui wa wapi ambae unaona mtu kufananisha mitandao mingine na jf ni sawa labda yeye kazoea fb na badoo anadhani najf ni hivyohivyo.

Naona unanimalizia charge tu
 
Nawewe sijui wa wapi ambae unaona mtu kufananisha mitandao mingine na jf ni sawa labda yeye kazoea fb na badoo anadhani najf ni hivyohivyo.

Naona unanimalizia charge tu
Then you should have told him that Jf is different from the social media you know. Hoja yangu ulikuwa unaielewa ila ulikuwa unajizungusha tu
 
Then you should have told him that Jf is different from the social media you know. Hoja yangu ulikuwa unaielewa ila ulikuwa unajizungusha tu
Him?!..she was specific kuwa mleta uzi hawezi kupata mume bora humu may be hukusoma alichoandika vzr ukaanza kubishana tu
 
Duh. Hapo umri kiwazo kwangu ila ukikosa huko ni utanikuta nakusubiri
 
Him?!..she was specific kuwa mleta uzi hawezi kupata mume bora humu may be hukusoma alichoandika vzr ukaanza kubishana tu
Mchangiaji aliona Jf ni social media kama zingine tu ndio maana katoa komment kulingana na uzoefu alionao kwenye mitandao mingine. Jambo ambalo mimi pia nakubaliana nae...Jf ni mtandao tu kama mitandao mingine kwa hiyo nadhani tofauti kati ya sisi na wewe ni mtazamo kuhusu Jf
 
N pm but am 26yrs na ninahitaji kuoa.
 
Basi basi hata tabia yako kidogo km mpole au mkali au kibr au mchamgamfu,sema na rangi yko...mimi mwaka kesho natimiza miaka 29
 
humu hakuna mume wala mke,bora usubir mungu akuletee wako lakn si humu.utalia.
 
Imebidi nicheke kwa loud speaker Yani we unataka mwanaume mwenye sifa zaidi ya 7 wakat we una sifa 4 tu ....
 
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
njoo pm tuyajenge haraka
 
Nenda kanisan utakutana nao wengi tu
 
Heee. Humu sijui kama utapata mume bora. Mitandaoni siyo mahala pakupata mume ILa kila la kheri
Wanaume wa humu ndio wale uwaonao makanisani, Misikitini, mtaani, makazini n.k, hivyo wanaume wa humu hawajatoka sayari nyingine
 
Back
Top Bottom