- Thread starter
- #81
26 yrsMiaka 26 iliyopunguzwa. Inamaana unazidi hapo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
26 yrsMiaka 26 iliyopunguzwa. Inamaana unazidi hapo.....
sifa zote ninazo isipokuwa ninaishi kwa shemeji yanguMimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
Una churaaa?Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26.najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae MUNGU akipenda awe baba wa watoto.
Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zake.
Dini .....mkristo
Miaka..... Kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua,
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
MSAFI.,mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
SIFA ZANGU.
miaka 26,mfanyabiashara,elimu diploma,
Je wewe ni mfanya biashara na unahiyo diploma au wataka tu mwenye vigezo hivyo ingali wewe hauna hata kimojaMimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,
Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Umeshapata???Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,
Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Mkuu kwahio kunywa pombe ndio kuwa na akili usitukane watu tupo wenye akili napombe hatunywi kwanini ututukaneMie zote ninazo, Tatizo ni hapo kwenye POMBE,..
Kila la kheri Mungu akujalie umpate asiyetumia Pombe..
Ingawaje ninaamini ukikuta mwanaume hanywi Pombe ujue hana akili..
Nimeoa.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kiduchu tu unipate lakin hapo kwenye mvinyo ndio umebugi c6.. Daah[emoji13]Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,
Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Wachumba hawatafutwi kwenye mitandao utaishia kupata wachumba feki matapeli. Take your time utapata atakaekufaa muda na mahali muafaka.Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,
Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Matapeli kweli wapo. Lakini haimzuii yeye kutangaza. Wapo watu humu wana ndugu zao wenye uhitaji wa mchumba. Wanaweza kumuunganisha na akafanikiwa kupata.Wachumba hawatafutwi kwenye mitandao utaishia kupata wachumba feki matapeli. Take your time utapata atakaekufaa muda na mahali muafaka.