Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Hapo kwenye pombe ndo shida...... hebu amend hiyo sehemu wajitokeze wengi
 
Ni kweli no wanaume humu humu kuna wachumba tu wawatu wanaume za watu na watu ambao hawaelewi kwanini mnachart au kaja pm kufanya nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilipokuwa naambiwa pm ukweli nilikuwa napinga ila kiukweli no man in jamii forum who will settle with you may be à miracle

Kuna mtu wa jf hata mmoja umeshawahi kumdate?!
 
Mfungua uzi alikimbia au ana id nyingine humu anawasoma tu watu. Ukute na yeye anajicommemt maana yaonekana mara ya mwisho kuwa hewani ni 18.02.2018
20180716_181215.png
 
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.

Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,

Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Hakuna mwanaume aliyekua anakulilia kipindi un& chuchu saa sita, kabla hujatoa mimba kadhaa. Ukawa unamcheka. Napenda kukujulisha huyo ndio alikua mumeo na ningekua nina umri tajwa hapo juu ningekuja nikuchezee na nikuache shwaini
 
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.

Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,

Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Ushapata?
 
Nakula chang'aa, na nimeajiriwa, VP unaweza tengua masharti yako ili niuone umalkia wako. Nipo vzr hatari. Hakika hutojutia
 
Wanazingua sana aisee yaani unakuta wanawanyongonyesha watoto wa watu wanaohangaika kutafuta namna na watu wa kuanzisha nao familia.Shida ni wengi kukariri comments za utumbo wanazoziona humu jukwaani wasijue mahali sahihi pa kuzitumia,hata kwenye masuala ya kistaarabu mtu analeta comment ya kipumbavu sijui wanaona sifa!halafu sie wanaume ndio tunaongoza kwa upumbavu huu.Pongezi kwa baadhi ya member waliostaarabika kiukweli kuna baadhi ya members sijawahi kuona wamecomment upumbavu Mwifwa.
Nakazia hapa ......
 
Yes mkuu ni baadhi tu ya wastaarabu na waungwana waliomo humu wapo wengi tu kwa upande wangu but wengine kichefuchefu sana.

But all in all kubadilika inaanza na mm na ww mi natamani km hz comments za kishenzi kungekuwa na kakirusi kanazitafuna automatically as you post them ingekuwa murua sana.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na wewe ni kama mwifa nimekupenda bure
 
Waooo!! Asante sana mkuu kwa kuniona na mm,maybe siku moja na miye nitakumbukwa kama ulivyonikumbuka ww.Tuko pamoja.
 
Pamoja sana huwa napenda sana wanaume wenye akili za kiume ....ila humu kuna watu jamani doooooooh ni booomuuuu
 
We acha tu yaani kisa tumo kwenye chumba chenye giza linalopelekea tusijuane basi watu tunaongea sometym lugha za ajabu mpaka ikitokea mtu akawasha taa tukaonana basi unaweza usiamini km ndio huyu kweli aliyeongea.
 
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.

Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,

Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila

mimi nipo hapa sema mie ni mfupi sana nina urefu wa 3.2FT
 
Back
Top Bottom