Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli no wanaume humu humu kuna wachumba tu wawatu wanaume za watu na watu ambao hawaelewi kwanini mnachart au kaja pm kufanya nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilipokuwa naambiwa pm ukweli nilikuwa napinga ila kiukweli no man in jamii forum who will settle with you may be à miracle
Wewe haikuhusuKuna mtu wa jf hata mmoja umeshawahi kumdate?!
Wewe haikuhusu
Non senseInasemekana mwanaume asiekunywa pombe anakuwa mzembe mzembe na pia anakuwa na gubu balaa sababu mda mwingi yupo nyumbani anagombania remote za tv na watoto!
Hakuna mwanaume aliyekua anakulilia kipindi un& chuchu saa sita, kabla hujatoa mimba kadhaa. Ukawa unamcheka. Napenda kukujulisha huyo ndio alikua mumeo na ningekua nina umri tajwa hapo juu ningekuja nikuchezee na nikuache shwainiMimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,
Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Ushapata?Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,
Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Nakula chang'aa, na nimeajiriwa, VP unaweza tengua masharti yako ili niuone umalkia wako. Nipo vzr hatari. Hakika hutojutiaMimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,
Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila
Nakazia hapa ......Wanazingua sana aisee yaani unakuta wanawanyongonyesha watoto wa watu wanaohangaika kutafuta namna na watu wa kuanzisha nao familia.Shida ni wengi kukariri comments za utumbo wanazoziona humu jukwaani wasijue mahali sahihi pa kuzitumia,hata kwenye masuala ya kistaarabu mtu analeta comment ya kipumbavu sijui wanaona sifa!halafu sie wanaume ndio tunaongoza kwa upumbavu huu.Pongezi kwa baadhi ya member waliostaarabika kiukweli kuna baadhi ya members sijawahi kuona wamecomment upumbavu Mwifwa.
Mwifa ni gentlemen ......sio mvulana big up kwakehata mimi mwifa namuonaga bonge la mstaarabu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na wewe ni kama mwifa nimekupenda bureYes mkuu ni baadhi tu ya wastaarabu na waungwana waliomo humu wapo wengi tu kwa upande wangu but wengine kichefuchefu sana.
But all in all kubadilika inaanza na mm na ww mi natamani km hz comments za kishenzi kungekuwa na kakirusi kanazitafuna automatically as you post them ingekuwa murua sana.
Waooo!! Asante sana mkuu kwa kuniona na mm,maybe siku moja na miye nitakumbukwa kama ulivyonikumbuka ww.Tuko pamoja.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na wewe ni kama mwifa nimekupenda bure
Pamoja sana huwa napenda sana wanaume wenye akili za kiume ....ila humu kuna watu jamani doooooooh ni booomuuuuWaooo!! Asante sana mkuu kwa kuniona na mm,maybe siku moja na miye nitakumbukwa kama ulivyonikumbuka ww.Tuko pamoja.
We acha tu yaani kisa tumo kwenye chumba chenye giza linalopelekea tusijuane basi watu tunaongea sometym lugha za ajabu mpaka ikitokea mtu akawasha taa tukaonana basi unaweza usiamini km ndio huyu kweli aliyeongea.Pamoja sana huwa napenda sana wanaume wenye akili za kiume ....ila humu kuna watu jamani doooooooh ni booomuuuu
Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume ambae Mungu akipenda awe baba wa watoto. Kiukweli niko very serious nawish nimpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na sio masihara.
Sifa zangu
Miaka 26, mfanyabiashara, elimu diploma,
Sifa zake
Dini...mkristo
Miaka...kuanzia miaka 29-35
Kari awe ameajiriwa au awe anajishughulisha na kazi halali inayomuingizia kipato.
Mwenye kujitambua.
Asivute sigara wala sio mtumiaji wa pombe.
Msafi, mtanashati,
Aliye seriously.
Sibagui kabila