Mimi ni msichana wa kitanzania mwenye miaka 26, najitokeza kwenu kutafuta mwanaume

Hapo kwenye pombe ndo shida...... hebu amend hiyo sehemu wajitokeze wengi
 
Kuna mtu wa jf hata mmoja umeshawahi kumdate?!
 
Mfungua uzi alikimbia au ana id nyingine humu anawasoma tu watu. Ukute na yeye anajicommemt maana yaonekana mara ya mwisho kuwa hewani ni 18.02.2018
 
Hakuna mwanaume aliyekua anakulilia kipindi un& chuchu saa sita, kabla hujatoa mimba kadhaa. Ukawa unamcheka. Napenda kukujulisha huyo ndio alikua mumeo na ningekua nina umri tajwa hapo juu ningekuja nikuchezee na nikuache shwaini
 
Ushapata?
 
Nakula chang'aa, na nimeajiriwa, VP unaweza tengua masharti yako ili niuone umalkia wako. Nipo vzr hatari. Hakika hutojutia
 
Nakazia hapa ......
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na wewe ni kama mwifa nimekupenda bure
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na wewe ni kama mwifa nimekupenda bure
Waooo!! Asante sana mkuu kwa kuniona na mm,maybe siku moja na miye nitakumbukwa kama ulivyonikumbuka ww.Tuko pamoja.
 
Waooo!! Asante sana mkuu kwa kuniona na mm,maybe siku moja na miye nitakumbukwa kama ulivyonikumbuka ww.Tuko pamoja.
Pamoja sana huwa napenda sana wanaume wenye akili za kiume ....ila humu kuna watu jamani doooooooh ni booomuuuu
 
Pamoja sana huwa napenda sana wanaume wenye akili za kiume ....ila humu kuna watu jamani doooooooh ni booomuuuu
We acha tu yaani kisa tumo kwenye chumba chenye giza linalopelekea tusijuane basi watu tunaongea sometym lugha za ajabu mpaka ikitokea mtu akawasha taa tukaonana basi unaweza usiamini km ndio huyu kweli aliyeongea.
 
mimi nipo hapa sema mie ni mfupi sana nina urefu wa 3.2FT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…