Mimi ni Mtanganyika

Jomba hunaga akili kabisa. Kwako wewe matusi ni silaha. Hamia huko Ulaya ukaolewe. Huna adabu kabisa.
 
Mimi binafsi, sitiwi chumvi na mtu katika hili. Ni hisia zangu na naamini napaswa kuheshimiwa pia kama watu wa Zanzinbar wanavyojiita wazanzibari na wapo kwenye huo muungano. Shida yetu ni nini kuitwa Watanganyika?
Unaongeza nini kuitwa jina mfu?
 
Unatamani mambo ya Ulaya?? Nenda ukaliwe makalio maana hayo ndiyo mambo ya Ulaya
 

Wazanzibar ni wabaguzi sn
wamembagua nani mkuu
 
Kaombe hata udiwani kama utapata au kununua ardhi

Kaombe hata udiwani kama utapata

Kaombe hata udiwani kama utapata au kununua ardhi
Sasa ardhi yote iliyokuwepo huku bara niende nikanunue ardhi Zanzibar ya nini mkuu.

yani kwa mfano huku Tanganyika kuwepo na eneo mathalan 1000km square, na kule Zanzibar ni 1 km square, unaacha chako kingi unaenda kumwambia mwenzio aliyenakidogo akupe na kidogo chake ukimiliki.

huo utakuwa ubinafsi ni kuvutia kwako tu.
 
Chaajabu machogo ndio manalazimisha kuwa pamoja na Zanzibar! Leo hii Zanzibar ingekua Arab sate kwenye Arab league na ingekua na maendeleo makubwa sana! Ikitokea nchi hizi mbili zikatengana nitakua wa kwanza kuhamia na kuwekeza Zanzibar ila kwa sasa nipo nanyonya mali za wajinga watanganyika
 
tangan......samahani ngoja nikafukuze kuku wa mama roda anakula mtama wangu.ntakuja kumalizia sentensi
 
Kama nataka kuishi Zanzibar nimepapenda? Kilimajaro ardhi ni ndogo lakini Morogoro ardhi ipo ya kutosha, kwahiyo watu kutoka Morogoro wasinunue ardhi Kilimanjaro ila wachaga wanunue ardhi Morogoro? shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…