Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali, natafuta Kazi

Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali, natafuta Kazi

Ninatafuta kazi , Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania.

Natanguliza shukrani🙏
Mkuu..tafuta kamtaji,fungua duka la dawa na kimaabara cha mchongo vijijini huko..ukapige hela
 
Ninatafuta kazi, Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania.

Natanguliza shukrani🙏
Vp oral hukufanikiwa kupita?
 
Sio kwamba huna bahati, fanya mpango uende. Yaani we kweli una uhitajio wa kazi una ambiwa kuna sehemu unasema huna bahati kisa uko mbali! Unataka mpaka nauli akutumie, Watanganyika mna feli sana
Asee sina bahati, anyway nashukuru kaka[emoji120]
 
Back
Top Bottom