kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
- #21
Nimekuelewa kaka mkubwa nashukuru kwa kunichana ukweli🙏Sio kwamba huna bahati, fanya mpango uende. Yaani we kweli una uhitajio wa kazi una ambiwa kuna sehemu unasema huna bahati kisa uko mbali! Unataka mpaka nauli akutumie, Watanganyika mna feli sana