kante mp2025 JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 631 Reaction score 1,192 Sep 9, 2024 Thread starter #21 Kinumbo said: Sio kwamba huna bahati, fanya mpango uende. Yaani we kweli una uhitajio wa kazi una ambiwa kuna sehemu unasema huna bahati kisa uko mbali! Unataka mpaka nauli akutumie, Watanganyika mna feli sana Click to expand... Nimekuelewa kaka mkubwa nashukuru kwa kunichana ukweli🙏
Kinumbo said: Sio kwamba huna bahati, fanya mpango uende. Yaani we kweli una uhitajio wa kazi una ambiwa kuna sehemu unasema huna bahati kisa uko mbali! Unataka mpaka nauli akutumie, Watanganyika mna feli sana Click to expand... Nimekuelewa kaka mkubwa nashukuru kwa kunichana ukweli🙏
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 6,290 Reaction score 8,600 Sep 9, 2024 #22 kante mp2025 said: nipo mkoani Tabora Click to expand... Ulishawah kufundisha chuo manyara?
kante mp2025 JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 631 Reaction score 1,192 Sep 9, 2024 Thread starter #23 mbarika said: Ulishawah kufundisha chuo manyara? Click to expand... Hapana mkuu sijawahi