APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Som'ma nkamu ifyinja fyosa ifyo akali ukughona ku'nna..ukutukenyesya twe bhanyambala....Uma akakonyofu ikujobha isi asibwene pa kisyu sikasyake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Som'ma nkamu ifyinja fyosa ifyo akali ukughona ku'nna..ukutukenyesya twe bhanyambala....Uma akakonyofu ikujobha isi asibwene pa kisyu sikasyake
Ulinkonyofu kikolo...kughona mbabhamama ....sya soniNguntufya malafyale mwikemo jho uju andobwisye
Acha wivuMiaka 40 [emoji23][emoji23]
Fanya hivi fata huyo mkee leta hapohapo kwa mama
Inaonekana mama yako anakujali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mma malafyale, bhalipo abha ngubhajoba.Ulinkonyofu kikolo...kughona mbabhamama ....sya soni

Wapi?Nenda sokoni,
Kaombe kazi ya kutembeza matunda.
Per day utaingiza hadi elfu 15.
Ganji elfu 8, malipo per day elfu 7.
Kwa mwezi laki 4 na nusu, maisha safi kabisa.
Mama akikupa mtaji wa tololi peke yake itapendeza zaidi.
Nalonda n'ndi unyalile nkamuMma malafyale, bhalipo abha ngubhajoba.
Ngabhagila une kuja mwana gwa nyoko
Fuatilia tu huu Uzi, utapata madiniDah.. Chifu ukipata maujanja unigaie na mimi nitoboe [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Wana JF Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni baba wa miaka 40 form four leaver, sina ujuzi wala maarifa yoyote ya maisha.
Tangu nimalize elimu ya sekondari, sijawahi kufanya kazi yoyote ya kuniingizia kipato.
Sijawahi kutengeneza pesa yangu mwenyewe. Kila hela unapewa na mama, hata hela ya kununua boksa.
Sijawahi kupanga wala kuishi maisha ya kujitegemea. Nimeshakuwa kwenye mahusiano ya ki mapenzi na wasichana wengi wasio na idadi, ila sikuwahi kufikiria kuoa.
Nina watoto wawili, nilizaa na wasichana tofauti, watoto wanaishi na mama zao.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu, ni kwamba kuna Dada nimempata, na nimetokea kumpenda kwa dhati. Nimemuahidi kuwa ntamuoa.
Sasa mchumba wangu huyo anataka nikapange, nianze kujitegemea.
Jamani wazoefu wa maisha naomba mnipe mbinu za kutafuta hela niache kumtegemea mama na Mimi niweze kama wanaume wengine .
Nawashukuru sana.
Vijana kula kuwala watoto wa mama tuko wengi sana DSM, ila Mimi nimejitokeza hadharani. TID ni mwenzangu pia, Toto la mama.
Naomba namba yako nije kupiga kaziSasa blaza apo si do utawolewa wewe? Ka maelezo yako apo unawolewa sasa ivi sasa ivi.joo nikupe kasi ya kuuza duka lagu hapa karikoo duka la jumra jumra.
Huu Uandishi sio wa Bujibuji ,Kuna mahali umeikopi na kuipesti hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba namba yako nije kupiga kazi
ChooniWapi?
DumboWana JF Heri ya mwaka mpya.