Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Sipendi mikopo japo nalazimishwa kuchukua!Mkuu tatizo kubwa ni inferiority complex zilizotukuza ndio tatizo....
Nikiumwa itakuwaje......
Biashara ikigima siku hiyo nitakula nini.....
Je nukipata ajali wapi nitapata kiinua mgongo...
Biashara haina Mafao, labda ujiwekee akiba mwenyewe (tunasahau miaka unayopoteza mpk kupata mafao yako [emoji16])
Hata nikiwa mzembe mzembe mwisho wa mwezi mshahara wngu lazima nivute.......
Bima za matibabu......
Mikopo napata kwa urahisi (wkt mikopo yenyewe ndo chanzo cha umaskini)
nk nk nk
Mkuu hii imekaaje, jamaa hawawezi kukutafuta kweliMkuu fanya kitu moyo wako unapenda kama malengo yako ni kuwa kuwa na investments zako uamuzi huo ni mzuri
Kwa kuongezea mtahi ulio nao unawezaukachua mafao yako ya muda uliofanya kazi ukaongezea kwenye mtaji au ukaingia zako bank ukachukua loan alafu ukapote
Bro wangu mwaka jana mwezi wa pili aliacha kazi aliangalia mafao yako yalikuwa milioni 6 ya miaka 5 aliyokaa kazini hiyo ni michango yake na ya mwajiri akaona ni ndogo akaingia bank akakopa millioni 15 baada ya miezi 2 akapotea
I was expecting this answer ![emoji16][emoji12]Vidada huwa vinadanga ndio maana.
Sio vya kujilinganisha navyo kabisa.
Hongera lakini ujue awamu hii hakuna maujanja ya biashara, ukifuata kanuni utatoboa.
Ualimu umekufanya uwe na mawazo ya kimadkini, sasa milion 2 zitakufikisha wapi? ukiwa mwajiriwa kwani unakatazwa kujiajiri ?Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri
Umenitamanisha na vihela vya kitaa...I wish ningekuwa mwanaume ningepigaje kazi?[emoji848][emoji848]
Wow!you are a genius enoughI was expecting this answer ![emoji16][emoji12]
Na nani?Sipendi mikopo japo nalazimishwa kuchukua!
Umenikumbusha ticha mmoja hivi aliacha kazi akafungua mgahawa unakuta anakaanga mihogo yake hana habariNinakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado tunatishwa tishwa. Walimu nimegundua ni waoga. Hasa kufanya maamuzi magumu na sahihi. Mwalimu wa Tanzania anaishi kimaskini. Naacha kazi, naenda kujiajiri mwenyewe. Kwa heri utumwa, Kwaherini walimu. KWAHERINI. Usiniige kama hujajipanga. Nina sh milioni 2. naenda kuipanda. Hii sio ndogo kwangu. Sirudi tena kufunza.
Mkuu ujasiriamali sio mchezo....unaweza kuhisi ela ya kununulia bando ni anasaMkuu tupe mrejesho unaendeleaje huko na hali
Jamaa atakuwa aliuza mpaka ki smartphone chake dadekiMkuu ujasiriamali sio mchezo....unaweza kuhisi ela ya kununulia bando ni anasa
I congratulate. Usiache ndoto kufa.MUDA-hii ndio asset kubwa naona binadamu tunakuwa nayo tu,sio pesa,ardhi wala utajiri.....kwanini walimu wengi tunakuwa masikini?....jibu ni rahis sana tunaibiwa MUDA.....Naondoka geto saa 12 asubuhi narud saa 11 jioni mshahara lakini nne.....haya tucalculate kwa siku unalipwa sh ngapi....ni kama 12-14 elfu....remember we have bills to pay unakula,unanunua mahitaji binafsi kama vocha,vitu vya urembo,unavaa,unakunywa,unalipa kodi,unapanda boda or bajaj or daladala,all that vinahitaji pesa...so,ukipokea mshahara you have to pay everyone and unabakiwa na kidogo sana au huna kabisa.......Kwanini nasema tunaibiwa muda...i speek from experience...Mimi nina biashara ya studio ya kurusha nyimbo nimemwajiri kijana mmoja,palle jamaa anapata hadi 15k per day na kila siku anakula hapohapo na tunagawana pesa inayopatikana daily lzm anipe kati ya elfu sita mpaka saba,what if ningeifanya hiyo bussiness mwenyewe niweke na vitu vinginr vya kuuuza?....nakosa muda.....okay second,nina pikipiki aina ya boxer siku za weekend nakaa vijiweni navizia abiria wale wa kuita boda ndio nawabeba yrna if only nimeweza kuwabahatisha lkn napata like kama 8k mpaka 12k kutoka kama saa tano mpaka saa 12 jioni.....siku za kazi nashindwa maana nakosa muda......One day nitaondoka and i think the day is very soon just because natafuta muda....siondoki huku nikiwa na mindset za kuajiriwa tena,inatosha hii miaka 6 ya mateso ya kufokewa,kudhulumiwa na kudharauliwa pia kufanyishwa kazi zinazozid na zisizolingana na mnachonilipa.....i would rather stay unemployed but be hapy.......i have my TIME and my MIND let me use those assets i have!
Kiukweli wanaume tuna nafasi kubwa sana ya kuweza kudeal na situation nyingi sana kuliko wanawake......change is not easy,there is a price of change,so we have to pay the price for change we want!Umenitamanisha na vihela vya kitaa...I wish ningekuwa mwanaume ningepigaje kazi?[emoji848][emoji848]
Dah na mkuu ukishindwa ku-eliminate fear of not having money,im sure u will never change!.....hivyo vyote tunavyoviona ni benefits za kazi kiuhalisia sio benefits ni kama mitego tu umewekewa ili uendelee kubaki huko!Mkuu tatizo kubwa ni inferiority complex zilizotukuza ndio tatizo....
Nikiumwa itakuwaje......
Biashara ikigima siku hiyo nitakula nini.....
Je nukipata ajali wapi nitapata kiinua mgongo...
Biashara haina Mafao, labda ujiwekee akiba mwenyewe (tunasahau miaka unayopoteza mpk kupata mafao yako [emoji16])
Hata nikiwa mzembe mzembe mwisho wa mwezi mshahara wngu lazima nivute.......
Bima za matibabu......
Mikopo napata kwa urahisi (wkt mikopo yenyewe ndo chanzo cha umaskini)
nk nk nk
Sitaki kuwa negative ila jua kwamba kuna watu wameshaweza kuachieve dreams zao through teaching and they are happy to be teachers even wanaume wapo,......for them nawapa hongera but something that makes you happy and successful doesnt mean it will make the other happy too!Kuna ticha kitaa kidada mbona kimetoboa? Nawashangaa[emoji848]