Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

Wengi wameacha ualimu wanatugongea kitaa Fegi.Kuna jamaa angu anataka kurudi imeshindikana.ila nawe una maamuzi pia ila angalia maisha ya badae.Mbeleni Ajira zitapotea kabisa.
 
Ualimu ni ajira ya kuanzia maisha tu. ila kama mtu una maono ya mbali hiyo kazi ni yakimasikini sana. hata kupata basic necessities nivigumu ukiwa mualimu. otherwise you have to risk either u die apauper or bourgeoisie. kazi kwako
 
Jamaa at ana 2Millions anataka kuacha kazi.Usijidanganye kijana kwa hilo.Badae mkulu ataongeza mishahara itakua minono.Uhakiki unaelekea ukingoni tuna matumaini one day tutafurahia wote.Jitahidi kupata ushauri vizuri usikurupuke mjomba.
Wewe nae bana!!....unafikiri mshahara wako utapandishiwa mpaka ukidhi matatizo yako yote?...hujui kwa nini unaitwa civil servant?
 
Huyu akiacha kweli maisha yatampiga balaa maana hajielewi - labda kama atajiunga na bavicha humu kutukana na kulaumu serikali 24/7
Maisha hayana fomula mkuu,na sio kila unachokiwaza wewe ni sahihi so u better stay quite,give the boy best wishes and not bad wishes unless u got satanic spirit.
 
Naheshimu uamuzi wako,wewe ni mtu mzima na una elimu yako nzuri tu,bila shaka umepima vya kutosha pande zote mbili yani maisha ndani ya ajira ya serikali na maisha nje ya ajira ya serikali na kuona wapi patakufaa zaidi..fanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi ukiwa umejipanga.

Best wishes Son.
 
MUNGU akutangulie kwa kila hatua
 
Haina haja utangaze.... wewe piga kimya kimya, ili ukizidiwa huko uendako urudi kutafuta ajira tena upokewe, kwani haya ni maisha tu... muhimu shilingi ipatikane.
Akiwa na wazo kama hili la kuanza then akishindwa arudi hatofanikiwa lazima atashindwa na atarud ajirani,kiufupi kujiajiri sio lelemama ye aamue moja kwa moyo mkunjufu tu
 
Huu ushauri wako utamfaa sana pia utamrahisishia mafanikio kwani mentor wake atamshika mkono na kumuonesha apite wapi na afanye nn hii inaondoa risk ya kufail na kukata tamaa
 
Hata mimi nina wazo kama lako, ila swali langu ni je hivi ukiacha kazi au ukifukuzwa hela yako kutoka mifuko ya hifadhi ya jamii watakupa au ndo unawaachia?
 
Maisha ni maajabu sana.Waalimu ambao hawajaajiriwa wanalilia ajira huku we unakimbia kazi.Duuuuuh kazi kweli kweli.Million ni Pesa ndogo sana ya kukufanya uache kazi.Piga mzigo jomba
kuajiriwa n utumwa
 
mkuu sikushaur uache kazi direct ila jaribu kufanya ishu ambayo unaweza kufanya bado uendelee na kazi ..kujiajiri iskie tu watu wakihubiri majukwaani ni ishu ngumu sana... speaking from experience
kujiajiri si rahisi kama kuajiriwa but akikomaa n rahis sana inahitaji nia ya dhati tu
 
Wachosema ni kweli Mwalimu, ila tukumbuke, ualimu ni ajira ila watakiwa kuwa na WITO, kama huna basi yanakuja kama haya, kila la kheri, ni kama UNESI, UDAKTARI, USTAWI WA JAMII, KUHUBIRI DINI .n.k. WITO WITO WITO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…