Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

Sio mihemko anawatia moyo wengine ambao wana woga wa kuthubutu! Pia hapa atakutana nawalio tangulia kuacha hapo awali wampe mbinu nyingine!
Moyo hautiwi kwa namna hiyo aisee, kama unajua kifuatilia vizuri uandishi ukahusisha na emotions za mwandishi, utagundua jamaa yetu mpaka anaadika alikuwa na stress nyingi
 
hongera mkuu ,umefanya jambo la kiume sana, huu ni mwisho wa mateso.
 
Uko wapi boss!! Naomba hiyo fursa ya pump na shamba!
 
Ninyi mnaomsema mwalimu ana mshahara mdogo...niambieni kada IPI Ina mishahara mikubwa serikalini???? Na je iweje uanze kazi Leo upate mshahara mkubwa?? Kumbuka ualimu ni wito istoshe si walimu wote wanafanana mishahara!!! Mwisho jiulize wewe unaemsema mwalim nyumbani wazazi wako ni mabalozi au wabunge??? NB Kabla hujaongea fikilia nini unataka kuongea na akina nani unaongea nao!
 
Acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi! [HASHTAG]#hapa[/HASHTAG] kazi tu!
 
Hongera hayo ndo maamuzi magumu tena yenye tija kama unajua unachoenda kufanya kila la kheri chief
 
kama ni hivyo mbona huu mshahara unafanya mambo mengine kabisa naona baadhi ya shule za binafsi mishahara huwa hiyo laki 7, kuna watu wanalipwa laki 3 na wanaishi fresh.
Kuwa na mshahara mkubwa haimanishi utatimiza malengo yako malengo yanatimia hata ukiwa ukiwa na mshahara mdogo cha mhimu ujue namna yakuupangilia
 
Asante kwa ushauri wako kuhisi sio kugusa
 
Shamba lipo Moro maji ya uhakika ardhi yenye rutuba kuvuna 100% guaranteed.
Mkuu upo Mori sehem gani. Mi naishi Iringa natafuta sana sehemu ambayo naweza kupata shamba zuri lenye maji kwa kilimo. Morogoro niliwahi kuplan kuhamia huko lakn mambo yakakwama nikaahirisha. Mkuu naomba mrejesho wa sehem gani nzuri
 
Wengi wameacha ualimu wanatugongea kitaa Fegi.Kuna jamaa angu anataka kurudi imeshindikana.ila nawe una maamuzi pia ila angalia maisha ya badae.Mbeleni Ajira zitapotea kabisa.
Foolish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…